Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Hata mi siaminjHata kwa bunduki, siamini kwamba alikuwa hatumii bangi, wala pombe....
Hapo bado hujanidanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mi siaminjHata kwa bunduki, siamini kwamba alikuwa hatumii bangi, wala pombe....
Hapo bado hujanidanganya
Ulikuwa mwaka gan huoAlivyokuja Tanzania aliwahi kuhojiwa na mtangazaji wa kike wa CTN kuhusu kutumia kilevi na kwa nini alikua hajaoa kwa kipindi kile.Alimjibu mtangazaji kuwa havuti wala hatumii kilevi chochote.Kuhusu kuoa alisema anatamani amuoe mtanzania hasa hasa yeye mwenyewe mtangazaji maana alimvutia sana (mtangazaji alikua na rasta fupi),mtangazaji alicheka saaaana
ni vigumu kukubaliHata mi siaminj
Sasa kwann wanatumia lile ua lawo la bangi kuatambulishai know that kwamba hupaswi kupiga mmea au kufuga dread ili uwe true rasa,but hiyo ni kwa mujibu wa watu wake wa karibu
Senzo hajafa yuko haiInasemakana was revenge for Senzo Death
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dube halikua hatumii bangi na hakuwahi kutumia ila alikuwa anajifukiza kwa kijifunika na shuka.
Ndugu yangu STUNTER kwanini unakua na imani ya thomaso?km lucky alikiri mwenyewe kutotumia nani mwingine mwenye mamlaka ya kumsemea?ni vigumu kukubali
Kwanini ajitangaze kwamba hatumii?? Kama kweli alikuwa hatumii angewaacha watu tu waone wenyewe, sio kujitangaza,Ndugu yangu STUNTER kwanini unakua na imani ya thomaso?km lucky alikiri mwenyewe kutotumia nani mwingine mwenye mamlaka ya kumsemea?
R.I.P Lucky Dube
AliulizwaKwanini ajitangaze kwamba hatumii?? Kama kweli alikuwa hatumii angewaacha watu tu waone wenyewe, sio kujitangaza,
Mtangazaji kamuuliza mbona akajib fresh tu!!!! Au unataka kutuaminisha kua aliongopa??Kwanini ajitangaze kwamba hatumii?? Kama kweli alikuwa hatumii angewaacha watu tu waone wenyewe, sio kujitangaza,
Mwaka siukumbuki vizuri ila mtangazaji wa kike alikua Rahma Aziz.Lucky alimuomba promoter wake UISO amfanyie utaratibu wa kumpata Rahma ili amuoe(nadhani Lucky alikua anatania ingawa Rahma alikua anavutia sana).Ulikuwa mwaka gan huo
jamaa walisema walitaka kupora gari na hawakujua kama lilikuwa la lucky dubeThanks. Sababu ku ya kumua nini