Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Hii ni kweli kabisa. Kuna reporter mmoja wa kizungu alikuwa anataka kufanya interview na Lucky Dube,kwahiyo katika moja ya matamasha ya Dube yule reporter alienda kwa ajili ya hiyo interview,akaambiwa Dube yupo nyuma ya jukwaa.Hata kwa bunduki, siamini kwamba alikuwa hatumii bangi, wala pombe....
Hapo bado hujanidanganya
Ikabidi amfate kule. Tofauti na mategemeo yake,akamkuta anapiga story tu na jamaa wengine.
Kabla hajamuuliza maswali yaliyosababisha amtafute,yule reporter akamwambia " Nilitegemea kukuta huku ukiwa unatafuta confidence kama wanamuziki wengine wanavyofanya nyuma ya majukwaa ( kuvuta bangi)"
Lucky alireply "Nataka niwe mfano bora kwa wanangu,ndio maana situmii kilevi chochote kile"
Nikilikumbuka jina la huyo reporter ntakwambia ili ukatafute makala yake na Dube au unaweza kugoogle wewe mwenyewe ili ujue mengi kuhusu huyu jamaa.