Huyu ndie lucky Philip dube

Ulikuwa mwaka gan huo
 
Dube halikua hatumii bangi na hakuwahi kutumia ila alikuwa anajifukiza kwa kijifunika na shuka.
 
Ndugu yangu STUNTER kwanini unakua na imani ya thomaso?km lucky alikiri mwenyewe kutotumia nani mwingine mwenye mamlaka ya kumsemea?
R.I.P Lucky Dube
Kwanini ajitangaze kwamba hatumii?? Kama kweli alikuwa hatumii angewaacha watu tu waone wenyewe, sio kujitangaza,
 
Kwanini ajitangaze kwamba hatumii?? Kama kweli alikuwa hatumii angewaacha watu tu waone wenyewe, sio kujitangaza,
Mtangazaji kamuuliza mbona akajib fresh tu!!!! Au unataka kutuaminisha kua aliongopa??

Hata bob mara nying alikua anaulizwa na anajib kwamba bila ganja mashairi hayapandi,,mbona walikua wapo wazi tu
 
Ulikuwa mwaka gan huo
Mwaka siukumbuki vizuri ila mtangazaji wa kike alikua Rahma Aziz.Lucky alimuomba promoter wake UISO amfanyie utaratibu wa kumpata Rahma ili amuoe(nadhani Lucky alikua anatania ingawa Rahma alikua anavutia sana).
 
Sahiv yule dada anaish kama sikosei Ni marekani, alishaolewa
 
Eleza mahusiano yake na Senzo pamoja na uhusika wake kifo cha Senzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…