Huyu ndie lucky Philip dube

Hata kwa bunduki, siamini kwamba alikuwa hatumii bangi, wala pombe....
Hapo bado hujanidanganya
Hii ni kweli kabisa. Kuna reporter mmoja wa kizungu alikuwa anataka kufanya interview na Lucky Dube,kwahiyo katika moja ya matamasha ya Dube yule reporter alienda kwa ajili ya hiyo interview,akaambiwa Dube yupo nyuma ya jukwaa.

Ikabidi amfate kule. Tofauti na mategemeo yake,akamkuta anapiga story tu na jamaa wengine.

Kabla hajamuuliza maswali yaliyosababisha amtafute,yule reporter akamwambia " Nilitegemea kukuta huku ukiwa unatafuta confidence kama wanamuziki wengine wanavyofanya nyuma ya majukwaa ( kuvuta bangi)"

Lucky alireply "Nataka niwe mfano bora kwa wanangu,ndio maana situmii kilevi chochote kile"

Nikilikumbuka jina la huyo reporter ntakwambia ili ukatafute makala yake na Dube au unaweza kugoogle wewe mwenyewe ili ujue mengi kuhusu huyu jamaa.
 
Senzo alikua na style flan hivi ya huruma huruma ila kama reggae dube atabaki kua dube
Nilikuwa namuuliza Mkuu hapo Juu,
Kuhusu Senzo Mthethwa,anaamini kwamba kafa au bado yupo hai.
 
Safi Sana, jina la Bwana libarikiwe milele
 
Ingelikuwa marehemu wanaongea huko waliko jamani, angetuambia ukweli
 
Ooh ahsante kwa taarifa
 
Nimeusahau jina, ila napenda sana sehemu ya mashairi yanasema......

"Miezi kadhaa iliyopita, nilimfata Mama nakumwambia nataka kuoa....
Mama akaniuliza Mwanangu umepata Mchumba?....
Na huyo Mchumba umemchunguza vizuri?.....
Nikamjibu Mama kuwa nimemchunguza vya kutosha....
Nathubutu kusema anafaa kuwa mke wangu wa Ndoa.....
Mama akanipa go a head, lakini leo roho inaniuma....
Kwa sababu natakiwa kumfata Mama na kumwambia....
Mama...! Nimeachana na yule Mwanamke....!"
 
huo ni its not easy
 
Unaitwa is not easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…