Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,387
- 1,518
It's not easy ndio jina la huo wimbo.Nimeusahau jina, ila napenda sana sehemu ya mashairi yanasema......
"Miezi kadhaa iliyopita, nilimfata Mama nakumwambia nataka kuoa....
Mama akaniuliza Mwanangu umepata Mchumba?....
Na huyo Mchumba umemchunguza vizuri?.....
Nikamjibu Mama kuwa nimemchunguza vya kutosha....
Nathubutu kusema anafaa kuwa mke wangu wa Ndoa.....
Mama akanipa go a head, lakini leo roho inaniuma....
Kwa sababu natakiwa kumfata Mama na kumwambia....
Mama...! Nimeachana na yule Mwanamke....!"
Ndugu senzo bado yupo haiAlbum ya Prisoner ilitoka Mwaka 1991, Slave ndio ilitoka 1990. Ni kweli hakuwahi kutumia vilevi ila watu wengi hawachukulii km Wine ni kilevi japo inawezekana pia kutowahi tumia. Kuhusu mauaji yake sio wivu km mchangiaji mmoja alivochangia, ila nikutokana na watu kvojua sababu halisi za mauaji yale hvyo kila mtu anasema lake. Km ni wivu basi angeuawa miaka ya 90 ambayo alikua namafanikio makubwa km album bora, Tunzo mbali mbali,kuuza nakala nyingi na nyimbo zake kushika chat za juu bill board. Kifo chake wengine wanakihusisha Na mauaji Ya Mwanamziki wwenzie Senzo, wengine wanahusisha na Siasa za SA
Ndugu senzo bado yupo hai
nimependa zaidi pale aliposema "beautiful woman is another man's plaything "Aisee huyu jamaa huyu ni level ingine kabisa
bring me back to my rootI've got you babe
usiziI've got you babe
Prisoner
Together as one
Crazy World....etc
Return If Possible (rip)
...you promised to come back...daddy where are you at!!!You left for the city many years ago
Reggae haijapoa na hitakuja kupoa...tatozo ni Bongo watu wanaofanya biashara ya muziki, media nk.Pamoja Ndugu!
Nyakati hizi naona Reggae music imepoa aisee
Senzo yupo mzeeNilikuwa namuuliza Mkuu hapo Juu,
Kuhusu Senzo Mthethwa,anaamini kwamba kafa au bado yupo hai.
Majambazi, wa Kupora magari walichangaza gari wakihisi ni Tajiri wa Kinigeria aliyekuwemo ndani ya GariThanks. Sababu ku ya kumua nini
Senzo hajafa Mzee bado Yupo anapeta tuAlbum ya Prisoner ilitoka Mwaka 1991, Slave ndio ilitoka 1990. Ni kweli hakuwahi kutumia vilevi ila watu wengi hawachukulii km Wine ni kilevi japo inawezekana pia kutowahi tumia. Kuhusu mauaji yake sio wivu km mchangiaji mmoja alivochangia, ila nikutokana na watu kvojua sababu halisi za mauaji yale hvyo kila mtu anasema lake. Km ni wivu basi angeuawa miaka ya 90 ambayo alikua namafanikio makubwa km album bora, Tunzo mbali mbali,kuuza nakala nyingi na nyimbo zake kushika chat za juu bill board. Kifo chake wengine wanakihusisha Na mauaji Ya Mwanamziki wwenzie Senzo, wengine wanahusisha na Siasa za SA