Huyu ndie lucky Philip dube

Huyu ndie lucky Philip dube

*Big boys don't cry
*Don't cry
*Hold on
*It's not easy
*Monster
*Love me the way i am
*Cool down
*Slaves
*Prisoner
*Remember
*The other side
*Teach the world
*Truth in the world
*Crazy world
*Reggae strong
*The way it is
*Little heroes
*God bless the women
*Children in the street
*Good girl
*Goodthings
*Taxman
*The hands that giveth
*To gather as one
*Money money
*Running falling
*Family ties
*You got no right
*Romeo
*My son im sorry
*Dracula
*Up with hop down with dope
*False prophet
*War & crime
*Fredom fighter.
 
Nimeusahau jina, ila napenda sana sehemu ya mashairi yanasema......

"Miezi kadhaa iliyopita, nilimfata Mama nakumwambia nataka kuoa....
Mama akaniuliza Mwanangu umepata Mchumba?....
Na huyo Mchumba umemchunguza vizuri?.....
Nikamjibu Mama kuwa nimemchunguza vya kutosha....
Nathubutu kusema anafaa kuwa mke wangu wa Ndoa.....
Mama akanipa go a head, lakini leo roho inaniuma....
Kwa sababu natakiwa kumfata Mama na kumwambia....
Mama...! Nimeachana na yule Mwanamke....!"
It's not easy ndio jina la huo wimbo.
 
Album ya Prisoner ilitoka Mwaka 1991, Slave ndio ilitoka 1990. Ni kweli hakuwahi kutumia vilevi ila watu wengi hawachukulii km Wine ni kilevi japo inawezekana pia kutowahi tumia. Kuhusu mauaji yake sio wivu km mchangiaji mmoja alivochangia, ila nikutokana na watu kvojua sababu halisi za mauaji yale hvyo kila mtu anasema lake. Km ni wivu basi angeuawa miaka ya 90 ambayo alikua namafanikio makubwa km album bora, Tunzo mbali mbali,kuuza nakala nyingi na nyimbo zake kushika chat za juu bill board. Kifo chake wengine wanakihusisha Na mauaji Ya Mwanamziki wwenzie Senzo, wengine wanahusisha na Siasa za SA
Ndugu senzo bado yupo hai
 
Mom die of heartattack when she heard u were married again,in wherever you are remember me
 
You left for the city, many yeara ago.
Promised to come back to take care of us.
Many years has gone by now.
Still no sign of you,teddy eh eh!
Mother died of a heart attack many years ago.
When she heard that you were married again.
Now I am the only one left in this family.
Teddy, wherever you are,
Remember me.
In whatever you do I love you.
 
Album ya Prisoner ilitoka Mwaka 1991, Slave ndio ilitoka 1990. Ni kweli hakuwahi kutumia vilevi ila watu wengi hawachukulii km Wine ni kilevi japo inawezekana pia kutowahi tumia. Kuhusu mauaji yake sio wivu km mchangiaji mmoja alivochangia, ila nikutokana na watu kvojua sababu halisi za mauaji yale hvyo kila mtu anasema lake. Km ni wivu basi angeuawa miaka ya 90 ambayo alikua namafanikio makubwa km album bora, Tunzo mbali mbali,kuuza nakala nyingi na nyimbo zake kushika chat za juu bill board. Kifo chake wengine wanakihusisha Na mauaji Ya Mwanamziki wwenzie Senzo, wengine wanahusisha na Siasa za SA
Senzo hajafa Mzee bado Yupo anapeta tu
 
Back
Top Bottom