Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
INASYMBOLIZE Ulivyo au unachopendaAvatar ina Shida gani kwaniii????????
Hapana, ila naona sifa zina mgongano mkuuZinaninyima Mke au [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Kwenye nyanja gani...Anajituma
Mbona na wewe una kera mtu au watuKichwa cha habri kinakera... Huyu ndyo mume anayekufaa kwahyo ni wote au..?
Mtu watu, siyo mtu wa watu hapo ushafanya jina liwe tofauti.Mbona na wewe una kera mtu au watu
huu mtego utagombaniwa sana PMHabari wanajamvi,
-Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.
-Mfanyabiashara
Natafuta mwanamke wa kuishi nae na kuniletea watoto duniani.
Ninapenda sana watoto.
Mwanamke awe na utayari wa kua na familia na ndoa.
Ushirikiano. Na malezi bora kwa watoto.
Ningependelea mwanamke awe na sifa zifuatazo;
1. Awe mcha Mungu Mkristu/Mwislamu/ Mlokole etc.
2. Umri; 20-60.
3. Anaejitambua (asiwe mswahili sana)
4. Mwaminifu kwenye ndoa.
5. Rangi' yoyote tuu.
6. Awe na urefu kama Wastara hivi au Recho wa kipepeo. ( waigizaji)
7. Awe tayari kwa ndoa.
8. Anajituma.
9. Asiwe na historia ya kosa la jinai.
10. Elimu ya kawaida tuu. Ila ajue kusoma na kuandika.
11. Awe msikivu
12. Asiwe mbaguzi
Karibuni PM. Kwa moyo mkunjuvu uliojaa shauku ya kumuona mwanamke atakae ishi na mimi mpaka pale kifo kitakapo tutenganisha.
Nb: - Mjane/ mke ulie achika njoo tushauriane na tuyajenge pengine tutaendeleza safari hii ya upendo pamoja.
- Napenda watoto alie na mtoto/watoto tutazungumza pia.
Karibuni sana.