Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

sawa tumepata maoni yako
 
Rais ajae lazima ukimtazama kwa staili ya maisha anayoishi ukihusianisha na Umasikini wa nchi yetu Lazima tukubaliane Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030 Watanzania watataka rais wa kupambana na rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya Fedha za umma hili halina ubishi kwa walio wengi.
 
Shite hii inammaliza, Leo ni RC ila anatembea na magari 100 kwenye msafara
 
 
Short and clear Dikiteta Mzalendo Muadilifu !
Yaani awe na hizo sifa zote tatu bila kumung’unya maneno.

Freedom of expression- and that is my opinion 😳👍
 
23. Rais ajae atalazimika kuwa na Uraia usio na chembe ya shaka kutokana na yanayoendelea duniani lakini pia kwa hatma pana ya Taifa.
Yule aliyeteremshwa TZ moja kwa moja kutoka mbinguni ???

Maana watu wote Duniani Asili yao ni kuhama hama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kutafuta unafuu wa maisha !

Hii mipaka ya kuonyesha hii ni Nchi fulani ilitengenezwa na Wazungu wakoloni 😳🙄👍
 
Hatutaki kufika 2030! Nchi itapelekwa utumwani na makuwadi wa waarabu na wazungu! 2025 we are good to go!
 
1.PAUL CHRISTIAN MAKONDA
2.JOSAPHAT GWAJIMA
3.HUMPHREY POLEPOLE
4.KASSIM MAJALIWA

KWENYE UPINZANI SIONI HATA MMOJA LABDA

DR WILBROD SLAA { UMRI KIKWAZO SANA
 
Naomba nifafanulie kwa Maandishi yasiyozidi 50.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…