Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

Jerry
Kafulila

Ufisadi kwishaaaaa
Ila jerry ameonyesha uthubutu sana vita aliyoipiga kwa muda mfupi ni dhahiri anatufaa ,ile wizara ina kila aina ya rushwa na wezi ndio hao matajiri na wana watu hadi wizarani ambao wanashiriki kuiba haki za watu sasa hivi muda mfupi hatusikii tena malalamiko na hata kama mwizi wa ardhi kipindi hiki unakaa kwa wasi wasi , jerry amethubutu na ameweza nitampa kura yangu
 
Anapambana sana huyu kijana
 
Bashungwa na jerry slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…