Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hii text jamaa wa MC Algers wanasema ndo aliwashtua mambo mengi mengine kuna jamaa anasema atatuma jumbe zote ambazo watu walikuwa wanawatonya MC Algers.
Kuna watu wamewapa mchongo wote hawa jamaa. Hawa ndo wamesababisha tusipate ushindi.
Uongozi wa MC Algers walishasema kuhusu referee kuwa wao wanachukua ushahidi wote hivyo wakamtisha referee.
Kule vyumbani jamaa walimwingiza Daktari kukagua kwanza na wakaweka ulinzi utadhani sisi tulikuwa na nia ovu nao.
Nyie mmetuharibia sana hii weekend. Siwezi wasamehe kwa kweli. Kesho ubaya utawarudia wenyewe. Mtaona