Huyu ndio aliwadokeza hawa Waarabu. Ameniharibia huu mwaka kabisa namlaani

Huyu ndio aliwadokeza hawa Waarabu. Ameniharibia huu mwaka kabisa namlaani

Huoni waarabu walikuja na kila kitu chao? Wakakaa zanzibar na wakikagua hadi room ya pale uwanjani?
Kwani wangekaa Dar badala ya Zar na wasingekagua room pale uwanjani kama mnavyodai ingeisaidiaje Yanga?
 
Umeanza personal attack..timu yako ni mbovu, nilisema nyinyi hamna hadhi ya kucheza robo fainali wala hata kuingia tu, hamna uwezo kabisa. Nyinyi mnajua kuvuta shisha tu na uchawi usio kua na faida.
 
Hii text jamaa wa MC Algers wanasema ndo aliwashtua mambo mengi mengine kuna jamaa anasema atatuma jumbe zote ambazo watu walikuwa wanawatonya MC Algers.

Kuna watu wamewapa mchongo wote hawa jamaa. Hawa ndo wamesababisha tusipate ushindi.

Uongozi wa MC Algers walishasema kuhusu referee kuwa wao wanachukua ushahidi wote hivyo wakamtisha referee.

Kule vyumbani jamaa walimwingiza Daktari kukagua kwanza na wakaweka ulinzi utadhani sisi tulikuwa na nia ovu nao.

View attachment 3205509

Nyie mmetuharibia sana hii weekend. Siwezi wasamehe kwa kweli. Kesho ubaya utawarudia wenyewe. Mtaona
Soka la bongo limekua mdau mpaka yanga anatoa sare na mwarabu ugenini
 
Hizo texts ni wewe mwenyewe umewatumia, hii screenshot ni kutoka kwa aliyetuma sio aliyetumiwa.

Halafu wala hazijasomwa, kazi bure.

Na mwisho, jitahidi walau uhamie kwenye infinix kutoka kwenye hiyo tecno ili uendeleze harakati za kichawi vizuri.
Na upitie kwa Ras Simba akupige brush, kidogo tu unyooke.
mtu wa maana kabisa wewe
 
Back
Top Bottom