Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Yaani utopolo wakifungwa huwaga hawakosi vijisababu.Hii text jamaa wa MC Algers wanasema ndo aliwashtua mambo mengi mengine kuna jamaa anasema atatuma jumbe zote ambazo watu walikuwa wanawatonya MC Algers.
Kuna Manyau yamewapa mchongo wote hawa jamaa. Haya manyau nyau ndo wamesababisha tusipate ushindi. Uongozi wa MC Algers walishasema kuhusu referee kuwa wao wanachukua ushahidi wote hivyo wakamtisha referee. Kule vyumbani jamaa walimwingiza Daktari kukagua kwanza na wakaweka ulinzi utadhani sisi tulikuwa na nia ovu nao. Mbwa kabisa hawa.
View attachment 3205509
Nyie manyau nyau mmetuharibia sana hii weekend. Siwezi wasamehe kwa kweli. Kesho ubaya utawarudia wenyewe. Mtaona
Huyu falah kauza ramani ya vita kwa waarabuMngeshinda mechi ya uwanjani maana mechi ya nje ya uwanja ulikua umeshapigwa
Tubaki Nbc league...😂😂😂😂😂😂gusa achia
Ndio iliyobaki😂Tubaki Nbc league...
Yote hayo walidokezwa...Picha linaanza watu wanatua airport na mito yao ya kulalia. Mechi ilishaisha hii hata kabla haijachezwa.
Si mnajipambanua mna kosi bora, sa inakuwaje unakuja kulia kuhusu hizo mambo?Yote hayo walidokezwa...
Hizo texts ni wewe mwenyewe umewatumia, hii screenshot ni kutoka kwa aliyetuma sio aliyetumiwa.Hii text jamaa wa MC Algers wanasema ndo aliwashtua mambo mengi mengine kuna jamaa anasema atatuma jumbe zote ambazo watu walikuwa wanawatonya MC Algers.
Kuna Manyau yamewapa mchongo wote hawa jamaa. Haya manyau nyau ndo wamesababisha tusipate ushindi. Uongozi wa MC Algers walishasema kuhusu referee kuwa wao wanachukua ushahidi wote hivyo wakamtisha referee. Kule vyumbani jamaa walimwingiza Daktari kukagua kwanza na wakaweka ulinzi utadhani sisi tulikuwa na nia ovu nao. Mbwa kabisa hawa.
View attachment 3205509
Nyie manyau nyau mmetuharibia sana hii weekend. Siwezi wasamehe kwa kweli. Kesho ubaya utawarudia wenyewe. Mtaona
Usichokijua mc algers walikuwepo wiki mbili ndani ya bwejuu Zanzibar wakifanya mipango yaoHii text jamaa wa MC Algers wanasema ndo aliwashtua mambo mengi mengine kuna jamaa anasema atatuma jumbe zote ambazo watu walikuwa wanawatonya MC Algers.
Kuna Manyau yamewapa mchongo wote hawa jamaa. Haya manyau nyau ndo wamesababisha tusipate ushindi. Uongozi wa MC Algers walishasema kuhusu referee kuwa wao wanachukua ushahidi wote hivyo wakamtisha referee. Kule vyumbani jamaa walimwingiza Daktari kukagua kwanza na wakaweka ulinzi utadhani sisi tulikuwa na nia ovu nao. Mbwa kabisa hawa.
View attachment 3205509
Nyie manyau nyau mmetuharibia sana hii weekend. Siwezi wasamehe kwa kweli. Kesho ubaya utawarudia wenyewe. Mtaona
Hasira ziishie kwa yule simba wa kufugwa dar es salaam zooTubaki Nbc league...
Ampige brush wapi!?..fafanuaHizo texts ni wewe mwenyewe umewatumia, hii screenshot ni kutoka kwa aliyetuma sio aliyetumiwa.
Halafu wala hazijasomwa, kazi bure.
Na mwisho, jitahidi walau uhamie kwenye infinix kutoka kwenye hiyo tecno ili uendeleze harakati za kichawi vizuri.
Na upitie kwa Ras Simba akupige brush, kidogo tu unyooke.
Uwezo mdogo wa timu yenu ya vikongweHii text jamaa wa MC Algers wanasema ndo aliwashtua mambo mengi mengine kuna jamaa anasema atatuma jumbe zote ambazo watu walikuwa wanawatonya MC Algers.
Kuna watu wamewapa mchongo wote hawa jamaa. Hawa ndo wamesababisha tusipate ushindi.
Uongozi wa MC Algers walishasema kuhusu referee kuwa wao wanachukua ushahidi wote hivyo wakamtisha referee.
Kule vyumbani jamaa walimwingiza Daktari kukagua kwanza na wakaweka ulinzi utadhani sisi tulikuwa na nia ovu nao.
View attachment 3205509
Nyie mmetuharibia sana hii weekend. Siwezi wasamehe kwa kweli. Kesho ubaya utawarudia wenyewe. Mtaona
Pole sana. Haya rekebisha hicho kiingereza. Ionekane ni wapi kimekosewa. Ras Simba ndo nani? Ni nyie manyau nyau. Hiyo text inatembea kwenye groups hata huelewi. Onesha kiingereza kimekosewa wapi. Maana nyie msiojua huwa mnakimbilia kusema kimekosewa halafu hamsemi kimekosewa wapi. Na mjomba wako wa simba watu hawamtaki....🤣Hizo texts ni wewe mwenyewe umewatumia, hii screenshot ni kutoka kwa aliyetuma sio aliyetumiwa.
Halafu wala hazijasomwa, kazi bure.
Na mwisho, jitahidi walau uhamie kwenye infinix kutoka kwenye hiyo tecno ili uendeleze harakati za kichawi vizuri.
Na upitie kwa Ras Simba akupige brush, kidogo tu unyooke.
Kwa hiyo alichowatonya waarabu ni sahihi?Huyu falah kauza ramani ya vita kwa waarabu