Huyu ndio Balozi Dola Soul

"Wengi walikuwepo sasa hivi wapo wapi ? Wapo wapi?

Balozi bado nipo ,bado nipo chati kwenye chati

Nashika Ile Ile,Ile moja namba natamba".
 
Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi/
balozi bado nipo ninatamba kwenye chati/

Halafu ngoma ina beat fulani hivi kama la kimamtoni
 
kuna mwamba aliimba(ga) mambo yote mbele kwa mbele, usikate tamaa msela ongeza misele

mwenye wimbo huo, fanya kutupia.
Ameimba DJ Yusuph ft. Hard Mad, wimbo unaitwa mbele kwa mbele. Mnyamwezi anaishi Sweden miaka mingi sana sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…