kichwa panzi
Senior Member
- Sep 18, 2015
- 120
- 102
Ccm oyee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende na Nchimbi
Ni msomi
Ni kijana
Ana uwezo
Ana uzoefu mkubwa
Anaweza kuunganisha watu wa mitizamo tofauti
Ni mwanadiplomasia
Ana kipaji cha uongozi
Ni rika la wabunge waliowengi ktk kipindi hiki
Anaijua ccm ndani nje
Anaijua nchi yetu
Anaweza tumsaidie atalisaidia bunge.
🤣🤣Huyu sina imani naye hata kidogo kwanza alikuwepo katika ile list ya mafisadi wa elimu sijui kwanini hakumpeleka mahakamani mtunzi wa kile kitabu.