Huyu ndio firauni

Huyu ndio firauni

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Huu ndio mwili wa firauni ambae umehidhiwa katka nchi ya Misri "Je wajua" firauni ndio mtu pekee ambaye hajaoza hadi leo wala haguswi na mdudu aina yoyote na ndio mtu pekee aliyekuwa anajifanya jabali mbele ya mungu"

FB_IMG_1626277113872.jpg
 
Imeshindikana kupata torati ya mussa aje kupatikana huyo firauni

Jambo hiwezekani kabisa akawa firauni huyo.


Mkuu, hivi kweli unataka kumkosoa Allah kwamba hawezi kutimiza ahadi yake??!!
 
Yani umekuja na upuuzi wako wa habari za makka kuwa firauni alilaanaiwa [emoji23][emoji23][emoji23]wakati process inajulikana, na huyo mtu alikua mtu mwema ndio maana aliishi miaka mingi na kupata watoto takribani 100. Mtu kama amelaanika anawezaje ishi miaka mingi.
Dini zinawapumbaza Waafrika sana
 
Back
Top Bottom