Huyu ndio firauni

Huyu ndio firauni

Sasa Allah mwenyewe alikuwa hajui pharaoh Ni Title sio Jina la mtu..kwahyo WaPo wengi, ila akajua Ni Jina la kiongozi wa Misri wa Enzi Za utumwa wa waisrael kisa biblia ilimtaja huko
 
Sasa Allah mwenyewe alikuwa hajui pharaoh Ni Title sio Jina la mtu..kwahyo WaPo wengi, ila akajua Ni Jina la kiongozi wa Misri wa Enzi Za utumwa wa waisrael kisa biblia ilimtaja huko
Yani hivyo vitabu ni hekaya
 
Waoh!!! Kumbe muhandsham ivyo..
 
Hizi dini tunapigwa Sana[emoji3525][emoji116]
images-324.jpg
 
Mbona nasikia firauni huyu mwili wake ulikuwa unataka kuharibika mwaka 1976 huko wakampeleka France kumkarabati tena
 
Huyo alikuwa mtu mwembamba, mfano ni kama Rais fulani wa nchi jirani, sio kwamba watu wa zamani walikuwa wembamba laa bali walikuwepo watu wa aina zote.
Mkuu nasikia mwili wake ukiuzika unarudi tena juu ya ardhi kuna ukweli wowote hapo
 
Kila aliyekuwa mtawala wa Misri (Egypt) alikuwa akiitwa Firauni (Pharaoh). Je wewe unamzungumzia firauni yupi?
Kumbe Firauni ni bonge la cheo... 🤣

Ngoja nimtunuku kiongozi mmoja hiki cheo.
 
Kuna kuchangia ili uongezewe ilmu na kuna kuchangia ili tu ulazimishe jambo lako au hoja likubalike
 
Back
Top Bottom