Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
[emoji23][emoji23] dunia ina mamboNasikia kazi yake kubwa ilikuwa ni kuwafira wahuni ndio maana akaitwa firahuni
Kama firauni huyu ndie yule wa kwenye Qurani wa nabii mussa basi hapa uhakika tumepigwa hasaa.
Imeshindikana kupata torati ya mussa aje kupatikana huyo firauniKivipi mkuu tumepigwa??!!
afu mashindano yakafanyikia misri.nauliza bingwa mtetezi wa hichi kizani nani wakuuEti Mungu akaweka ligi na firauni,ila biblia bwana
Imeshindikana kupata torati ya mussa aje kupatikana huyo firauni
Jambo hiwezekani kabisa akawa firauni huyo.
Kwani allah kasemaje mkuu juu ya firauni.Mkuu, hivi kweli unataka kumkosoa Allah kwamba hawezi kutimiza ahadi yake??!!