Huyu ndio fundi chuma...

 
fundi chuma akishamaliza kujenga kiota,anaishi mara moja tu,akitaga Na kukuza vifaranga wakiwa Na uwezo wa kujitegemea,wanakihama hicho kiota.
 
Ndiye kiumbe anayeweza kucontrol Mafuriko huko maporini, huwa akiona maji yanaweza kubomoa kingo za mto na kusambaa, kabla ya maji kuanza kusambaa huwa anashuka juu ya ukingo mmoja na maji kuanza kupungua.
 
Naomba picha mbili ziwekwe hapa zikionesha yupi ni fundi chuma, maana mpaka sasa kuna picha kama tatu na ziko tofauti .sasa sijajua yupi ni yupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…