Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
- #61
Ujakosea mkuuZamani ssaaana nimelisikia hili jina... Mleta nyuzi umenirudisha miaka mingi sana nqkumbuka huwa kama ana kichogo hivi fundi chuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujakosea mkuuZamani ssaaana nimelisikia hili jina... Mleta nyuzi umenirudisha miaka mingi sana nqkumbuka huwa kama ana kichogo hivi fundi chuma
Sijachanganya mkuu fundi chuma anatoboa mti, tobo na kutengeneza kiota chake, akichanganya na udongo, kwenye kiota chake kama nilivyoeleza, utakutana na nywele za binadamu, shanga, hadi baraghashia, na bado anawalinda watoto wake humo ndani ya kiota chake akiwa, ayupo ameenda kuwatafutia chakula, watoto wake hakuna adui atakaeingia humo mlangoni kwenye kiota anatengeneza kufuri la lililochanganywa na tope na majani ya nyasi mkuu.
umechanganya madawa huyo ni bata maji, angalia post #15Fundi chumaView attachment 865535
Huyu hatoboi kwenye mti lakini.Ndio mwenyewe mkuu.
Sasa hapa ni sehemu gani ya mti imetobolewa?
anakaa kwenye mito na mabwawa chakula chake kikuu ni churaZamani ssaaana nimelisikia hili jina... Mleta nyuzi umenirudisha miaka mingi sana nqkumbuka huwa kama ana kichogo hivi fundi chuma
anakaa kwenye mito na mabwawa chakula chake kikuu ni chura
fundi chuma hatoboi mti, ukiangalia post za nyuma utaona picha za kiota chake kinavyokuwaSi wanatoboa miti?