Huyu ndio Messi!!

Huyu ndio Messi!!

Ndio anaonekana poa but anafanyiwa figisu sababu ule ni utamaduni wa watu fulani inahisiwa ana present
Una mawazo ya kijinga sana wewe,

Weka ushahidi hapa kua Messi anafanyiwa figisu coz ya ndevu,angalia wacheza basket ball wa USA walivyo na madefu,wewe unaonekana ni mbaguzi na una roho ya korosho mpaka imeota bibo.
 
tatizo la watu wasiokua na upeo wa kufikiria kitu kiundani ndio kama wewe, unajiona uko na akili kumbe hata bwakila kakuzidi STUPID!
 
Nilitegemea ungekuja na majibu na evidence hapa kuprove kua kuna figisu Messi anafantiwa coz ya ndevu ila naona umekuja na mipasho tu kama muimba taarabu!

Kwa hiyo unataka kusema wachezaji wote wenye ndevu hufanyiwa figisu? au unadhani ni Messi tu ndiye mwenye ndefu?
Kwahiyo Vidal nae atafanyiwa figisu coz ya ndevu? na hao wanaomfanyia figisu Messi coz ya ndevu ni kina nani?

Vitu vingine msiwe mnaropoka hovyo tu ili mradi eti na wewe uonekane umechangia mada!
 
we mzee kama umenyimwa morning glory nikaushie tafadhar hilo povu peleka kwa demu wako pumbaf
 
Jibu ninachokuuliza,hii ni jf ukileta jambo utaulizwa ulete na evidence,sasa wewe badala ya kujibu ninachokuuliza naona umekazania kutukana vimatusi vya watoto wa darasa la pili tu! Jibu nilichokuuliza au kubali kua uliropoka.
 
mkuu mi nashindwa kukuelewa, kama hujui psychology ya wazungu sometimes uwe unatuliza boli, maana na wewe naona unauliza vimaswali vya kindagateni....
 
Naona uwezo wako wa uelewa na kupambanua mambo ni mdogo sana,basi siku nyingine uache kukurupuka na kuleta issue za udini kwenye jukwaa la sport,unaonekana ni mdini.
 
mashabiki maandazi yanafarijiana dhidi ya kirkou wao wao. Tazameni ile clip vizuri muone alivyotoa mpira kwa ghadhabu huyo mnayempamba.
 
Ndio anaonekana poa but anafanyiwa figisu sababu ule ni utamaduni wa watu fulani inahisiwa ana present

Yani unachokiwaza hakipo kabisa..ebu unaweza ukatuambia ni utamaduni wa watu gani hao?
 
Penalt kwenye kupiga kuna kukosa pia messi hakumpa suarez goli amempa penati apige ambayo angekosa isingekuwa goli messi mwenyewe amewahi kiri kuwa katika mambo anayopaswa kuyaboresha katika soka lake ni upigaji penalt
Umeongea point sana, pia sidhani kama angekua mbinafsi asingechukua kupiga mwnywe.
Kwa sababu moja ingekua ndo hat trick yake ya msimu, pili yeye angekua ndo anaongoza kwa magoli la Liga, na tatu hapo ndo ingekua sehemu ya kujipima kama kweli imeimarisha kiwango kwenye kupiga penati.
Kutokana na hayo tunabaki pale pale kua kutokua mbinafsi.
Kingine nilichokiona ni kua Cotinho siku ile ndo akufunga goli na alikua analitafuta sana ndo mana Messi alianza kumuuliza ka atapiga penalty, baada ya Cotinho kukataa akaamua ampe Suares ambaye ilikua ndo mechi yake ya kwanza kufunga toka msimu ili aendelee kujenga kujiamini
 
Kabisa mkuu umeweka clear nadhani
 
Moja ya vitu navyokubali toka huyu jamaa ni tabia ya kutojiona star,anajiina kama mchezaji wa kawaida,sasa yule mviziaji anaweza kuichukia hata familia yako
 
Back
Top Bottom