Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,150
Kama mitume wa zamaniHapana akiwa nayo vile anaonekana poa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mitume wa zamaniHapana akiwa nayo vile anaonekana poa sana.
Suarezi 30+ years, apate uzoezi gani. Mimi naona kama hiyo ni kejeli"Messi aliniuliza kama nataka kupiga penati mimi, nikamwambia hapana ningependa wewe upige ukamilishe HAT TRICK. Alimpa mpira Louis Suarez na kusema kuwa Suarez anahitaji kupata uzoefu zaidi". -Philipe Coutinho.
Huu uzi asingetajwa Ronaldo, usingekamilikaRonaldo atakuchoma hata M-bisu wa shingo ili apige yeye
Sawa hajioni star sasa inasaidia nini kwenye career yake?Moja ya vitu navyokubali toka huyu jamaa ni tabia ya kutojiona star,anajiina kama mchezaji wa kawaida,sasa yule mviziaji anaweza kuichukia hata familia yako
Katika viumbe walitoka sayari isiyojulikana wenye roho nzuri basi king messi anaongoza katika hao viumbe
Mkuu, hao wote kuondoka pale Barca ilikuwa ni sahihi kabisa na ieleweke kuwa mchango wa Messi kwa Barcelona ni mkubwa saana.Ushawahi kuwasikia akina Sanchez na Pedro kuhusu uyo Messi wakiwa vyumba vya kubadilishia nguo?kwa sasa Coutinho acha amsifie tu ila siku akiondoka ndio ataeleza upande wa pili wa uyo mnaemuita mpole wapo wengi wameondoka kisa uyo jamaa kutowataka.
Hilo zengwe linatoka wapi mkuuYule jamaa Lionel ni professional mmoja hatar bas tu zengwe jingi
Unajua watu wengne hata sielewi wao mpira wanautizama wapi baya atuambie Messi anafanyiwa zengwe gani?Hilo zengwe linatoka wapi mkuu
Ndio na mimi nimemuuliza mkuu, nasubiri jibuUnajua watu wengne hata sielewi wao mpira wanautizama wapi baya atuambie Messi anafanyiwa zengwe gani?
Hakuna mchezaji mwenye roho nzuri kama King Messi, na hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka kama King Messi, ila sijajuwa baadhi ya mashabiki wa hapa bongo wanamchukia..WHY!!!!!!
Hiyo kusema hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea kama messi ni wewe mtazamo wako lakini tupo wengne tunaona anazidiwa na hata wa zama zake achilia mbali wakongwe kama kina Pele na Maradona halafu kusema hakuna mchezaji mwenye roho nzuri kama Messi unamaanisha au umeandika tu?Hakuna mchezaji mwenye roho nzuri kama King Messi, na hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka kama King Messi, ila sijajuwa baadhi ya mashabiki wa hapa bongo wanamchukia..WHY!!!!!!
Ule ujinga anaouendekeza kule Argentina hadi timu inashindwa kupata matokeo uwanjani.Ni roho nzuri ile?.Tizameni pande zote aisee.Hakuna mchezaji mwenye roho nzuri kama King Messi, na hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka kama King Messi, ila sijajuwa baadhi ya mashabiki wa hapa bongo wanamchukia..WHY!!!!!!