Huyu ndio Messi!!

Huyu ndio Messi!!

"Messi aliniuliza kama nataka kupiga penati mimi, nikamwambia hapana ningependa wewe upige ukamilishe HAT TRICK. Alimpa mpira Louis Suarez na kusema kuwa Suarez anahitaji kupata uzoefu zaidi". -Philipe Coutinho.
Suarezi 30+ years, apate uzoezi gani. Mimi naona kama hiyo ni kejeli
 
Moja ya vitu navyokubali toka huyu jamaa ni tabia ya kutojiona star,anajiina kama mchezaji wa kawaida,sasa yule mviziaji anaweza kuichukia hata familia yako
Sawa hajioni star sasa inasaidia nini kwenye career yake?
 
Katika viumbe walitoka sayari isiyojulikana wenye roho nzuri basi king messi anaongoza katika hao viumbe

Ushawahi kuwasikia akina Sanchez na Pedro kuhusu uyo Messi wakiwa vyumba vya kubadilishia nguo?kwa sasa Coutinho acha amsifie tu ila siku akiondoka ndio ataeleza upande wa pili wa uyo mnaemuita mpole wapo wengi wameondoka kisa uyo jamaa kutowataka.
 
Mkuu, hao wote kuondoka pale Barca ilikuwa ni sahihi kabisa na ieleweke kuwa mchango wa Messi kwa Barcelona ni mkubwa saana.

Messi amejenga ushawishi mkubwa mno kwa viongozi wa Barca mpaka kwa mashabiki. Yule jamaa ni untouchable Barca na anastahili kuwa hivyo.
 
Hakuna mchezaji mwenye roho nzuri kama King Messi, na hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka kama King Messi, ila sijajuwa baadhi ya mashabiki wa hapa bongo wanamchukia..WHY!!!!!!
Hiyo kusema hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea kama messi ni wewe mtazamo wako lakini tupo wengne tunaona anazidiwa na hata wa zama zake achilia mbali wakongwe kama kina Pele na Maradona halafu kusema hakuna mchezaji mwenye roho nzuri kama Messi unamaanisha au umeandika tu?

Sio kwamba huyo Messi tunamchukia hapana ila mnampa sifa nyingi hata asizo stahili mara katoka sayari nyingne mara yeye ndio king wa soka mara binadamu mwenye roho nzuri kuwahi kutokea halafu akikosa tuzo yoyote mnakimbilia wanamfanyia figisu na akichukua yeye basi hapo mnaona sawa kabisa mbadilike nyie wanazi wa Messi tumechoka sifa zenu za kijinga wakati mpira tunauona wote
 
Hakuna mchezaji mwenye roho nzuri kama King Messi, na hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka kama King Messi, ila sijajuwa baadhi ya mashabiki wa hapa bongo wanamchukia..WHY!!!!!!
Ule ujinga anaouendekeza kule Argentina hadi timu inashindwa kupata matokeo uwanjani.Ni roho nzuri ile?.Tizameni pande zote aisee.
 
Back
Top Bottom