BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Usimfananishe King Messi na vitu vya ajabu...unakosea sana...Wanaendeshwa na mihemko !! Ushawahi ona cr7 kaleta mtafaruku kwenye team ?
Uyo nďo king Messi with Mercy
Ndevu zinahusiana nini na mpira?mandevu yale yanamponza sema yeye hana habari
Una mawazo ya kijinga sana wewe,Ndio anaonekana poa but anafanyiwa figisu sababu ule ni utamaduni wa watu fulani inahisiwa ana present
tatizo la watu wasiokua na upeo wa kufikiria kitu kiundani ndio kama wewe, unajiona uko na akili kumbe hata bwakila kakuzidi STUPID!Una mawazo ya kijinga sana wewe,
Weka ushahidi hapa kua Messi anafanyiwa figisu coz ya ndevu,angalia wacheza basket ball wa USA walivyo na madefu,wewe unaonekana ni mbaguzi na una roho ya korosho mpaka imeota bibo.
Nilitegemea ungekuja na majibu na evidence hapa kuprove kua kuna figisu Messi anafantiwa coz ya ndevu ila naona umekuja na mipasho tu kama muimba taarabu!tatizo la watu wasiokua na upeo wa kufikiria kitu kiundani ndio kama wewe, unajiona uko na akili kumbe hata bwakila kakuzidi STUPID!
we mzee kama umenyimwa morning glory nikaushie tafadhar hilo povu peleka kwa demu wako pumbafNilitegemea ungekuja na majibu na evidence hapa kuprove kua kuna figisu Messi anafantiwa coz ya ndevu ila naona umekuja na mipasho tu kama muimba taarabu!
Kwa hiyo unataka kusema wachezaji wote wenye ndevu hufanyiwa figisu? au unadhani ni Messi tu ndiye mwenye ndefu?
Kwahiyo Vidal nae atafanyiwa figisu coz ya ndevu? na hao wanaomfanyia figisu Messi coz ya ndevu ni kina nani?
Vitu vingine msiwe mnaropoka hovyo tu ili mradi eti na wewe uonekane umechangia mada!
Jibu ninachokuuliza,hii ni jf ukileta jambo utaulizwa ulete na evidence,sasa wewe badala ya kujibu ninachokuuliza naona umekazania kutukana vimatusi vya watoto wa darasa la pili tu! Jibu nilichokuuliza au kubali kua uliropoka.we mzee kama umenyimwa morning glory nikaushie tafadhar hilo povu peleka kwa demu wako pumbaf
mkuu mi nashindwa kukuelewa, kama hujui psychology ya wazungu sometimes uwe unatuliza boli, maana na wewe naona unauliza vimaswali vya kindagateni....Jibu ninachokuuliza,hii ni jf ukileta jambo utaulizwa ulete na evidence,sasa wewe badala ya kujibu ninachokuuliza naona umekazania kutukana vimatusi vya watoto wa darasa la pili tu! Jibu nilichokuuliza au kubali kua uliropoka.
Naona uwezo wako wa uelewa na kupambanua mambo ni mdogo sana,basi siku nyingine uache kukurupuka na kuleta issue za udini kwenye jukwaa la sport,unaonekana ni mdini.mkuu mi nashindwa kukuelewa, kama hujui psychology ya wazungu sometimes uwe unatuliza boli, maana na wewe naona unauliza vimaswali vya kindagateni....
mandevu yale yanamponza sema yeye hana habari
Ndio anaonekana poa but anafanyiwa figisu sababu ule ni utamaduni wa watu fulani inahisiwa ana present
Akikujibu niite mkuu.Yani unachokiwaza hakipo kabisa..ebu unaweza ukatuambia ni utamaduni wa watu gani hao?
Akikujibu niite mkuu.
Umeongea point sana, pia sidhani kama angekua mbinafsi asingechukua kupiga mwnywe.Penalt kwenye kupiga kuna kukosa pia messi hakumpa suarez goli amempa penati apige ambayo angekosa isingekuwa goli messi mwenyewe amewahi kiri kuwa katika mambo anayopaswa kuyaboresha katika soka lake ni upigaji penalt
Kabisa mkuu umeweka clear nadhaniUmeongea point sana, pia sidhani kama angekua mbinafsi asingechukua kupiga mwnywe.
Kwa sababu moja ingekua ndo hat trick yake ya msimu, pili yeye angekua ndo anaongoza kwa magoli la Liga, na tatu hapo ndo ingekua sehemu ya kujipima kama kweli imeimarisha kiwango kwenye kupiga penati.
Kutokana na hayo tunabaki pale pale kua kutokua mbinafsi.
Kingine nilichokiona ni kua Cotinho siku ile ndo akufunga goli na alikua analitafuta sana ndo mana Messi alianza kumuuliza ka atapiga penalty, baada ya Cotinho kukataa akaamua ampe Suares ambaye ilikua ndo mechi yake ya kwanza kufunga toka msimu ili aendelee kujenga kujiamini
Usimfananishe King Messi na vitu vya ajabu...unakosea sana...