Huyu ndio mtabiri bora wa mpira 2015-2022

Photoshop mwaka 2015 haikujulikana michuano hii itachezwa mwezi upi
Yeah upo uwezekano wa kuwa Adobe PS imetumika hapa,maana kutabiri kuhusu Messi ni moja,ila tarehe na mwezi,Hasa ukizingatia majira ya kombe la Dunia la mwaka huu ni tofauti na miaka ya nyuma....Inashangza Sana!!

Ila Kama Ni halisi,basi mwamba Ni time Traveller.
 
Adobe hiyo mkuu
 
Hapo lazima tumepigwa mazee, sio kwa kupatia huko jamani dah πŸ€”
 
Photoshop mwaka 2015 haikujulikana michuano hii itachezwa mwezi upi
Mkuu uko nyuma ya muda kwa miaka 7. Tarehe ya kuanza kombe la dunia ilitangazwa March 19 2015. Siku moja kabla huyo jamaa hajapost hiyo tweet.
Cha msingi ni kuwa siyo mchawi wala nini. Ni Muargentina ndio maana akasema Messi atachukua kombe.
Ni kama Eto'o alivyosema Cameroon na Morocco ndio watacheza fainali na Cameroon atabeba kombe la dunia. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…