Huyu ndio mtabiri bora wa mpira 2015-2022

Huyu ndio mtabiri bora wa mpira 2015-2022

Hakuna maajabu aliyofanya. Tarehe ya mechi ilitangazwa siku moja kabla ya Tweet yake.
 
Yaan basi ungefikiria kidogo, mwaka 2015, COVID-19 haipo, yeye aseme Et Dec 18??

Weweeee!!!
Nimejaribu kufuatilia kuwa fifa walitangaza tar 19/3/2015 , na yeye akapost tarehe 20/3/2015.
Kama vile kuna ukweli
 
Matukio mengi yanayotokea huwa yanakuwa yameshapa gwa siku nyingi Sana...
 
Wabongo ni rahisi sana kutapeliwa covid-19 ndio imepelekea kombe dunia kuchezwa mid-season mwaka huu.2015 ni kabla hata kombe la dunia kuchezwa Russia.
 
Acheni ujinga nimeshawaambia yoyote akitaka nimtengenezee kuwa aliwahi sema hata 2010 kuwa mwaka 2015 tutapata rais kwenye utawala wake watu watapotea kimasikhara Kisha malaika watamnyakua 2021 inawezekana

Nipe id yako chagua ionekane wapi
Tengeneza twitter yako then tupo username tuone
 
ni tweet ya mchongo,hilo suala la world cup kufanyika mwisho wa mwaka liliamuliwa miaka ya karibuni tu.
 
Natumia fb na insta ambayo pia siwezi week profile yangu huku
Unaona ulivo kiazitunasema twitter kumbe hata akaunt huna ndo maana hujui kuwa kule hamna option ya kuedit post ya maneno
 
Wame edit tu, nani alijua kama world cup ya mwaka huu ingechezwa December wkt world cup huwa inachezwa June? Bora angetaja mwaka tu kdg tungeamini. Eti kataja mpk tarehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro kutokana na hali ya hewa ilitangazwa mapema mbona soma hii link ya mwaka 2015 inaonekana umeanza shabikia mpira 2020

Soma hii
 
ni tweet ya mchongo,hilo suala la world cup kufanyika mwisho wa mwaka liliamuliwa miaka ya karibuni tu.
F564B652-C1B1-4E83-A568-E7ED22094401.png

Soma newyork time hiyo ya 2015
Wame edit tu, nani alijua kama world cup ya mwaka huu ingechezwa December wkt world cup huwa inachezwa June? Bora angetaja mwaka tu kdg tungeamini. Eti kataja mpk tarehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nenda twitter katazame
Bahati nzuri twitter haina option ya editing baada ya kupost
Umechelewa sana aisee ngoja nikuache kwa hali hii matapeli wa mtabdaoni hawawezi kwisha.
 
Acheni ujinga nimeshawaambia yoyote akitaka nimtengenezee kuwa aliwahi sema hata 2010 kuwa mwaka 2015 tutapata rais kwenye utawala wake watu watapotea kimasikhara Kisha malaika watamnyakua 2021 inawezekana

Nipe id yako chagua ionekane wapi
Mazuzu ni wengi kweli mkuu hizo mambo watu wanatengeneza sana online.
 
Back
Top Bottom