Huyu ndio muigizaji aliyepata mtoto akiwa na miaka 80

Huyu ndio muigizaji aliyepata mtoto akiwa na miaka 80

Hivi ile movie amecheza akiwa gangstar/ mafia wa kiitaliano ni ipi?

Ni nyingi tu mkuu, Kuna Goodfellas anakua Italian Irish, alafu kuna The untouchables anaigiza kama Al capone, The Goodfather 2 anaigiza kama Vito Corleone
 
Mateso kwa mtoto. Soon ataitwa mtoto wa single mother
Sio ma singo maza wa uswahilini. Naweza kuku assure huyo mtoto ataishi maisha mazuri miaka yake yote hapa duniani labda na watoto na wajukuu zake bila jasho kwakuwa baba yake alishatengeneza mazingira mazuri.

Wazungu wanakula generational wealth sio wabongo mnatotoa tu hata kesho hamjui mtakula wapi.
 
Back
Top Bottom