Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Kungwi Mtoto

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2018
Posts
796
Reaction score
776
Huko ig katuonesha kuwa kashapata mme wake mtarajiwa..namwombea heri kwa hilo na Mungu amfanyie wepesi afikishe kile anachokutegemea..ni wema na pck now ni new couple in town.
Kwa wale mlokuwa mnangojea wema nafasi ishajazwa na soon..
 
Attachments

  • Screenshot_2018-10-17-18-12-02.png
    Screenshot_2018-10-17-18-12-02.png
    200.6 KB · Views: 200
Huko ig katuonesha kuwa kashapata mme wake mtarajiwa..namwombea heri kwa hilo na Mungu amfanyie wepesi afikishe kile anachokutegemea..ni wema na pck now ni new couple in town.
Kwa wale mlokuwa mnangojea wema nafasi ishajazwa na soon..
Soon pia itakua wazi mkuu,me nawashauri wanaongojea waendelee kusubiri kidogo.
 
Back
Top Bottom