Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Wema kutoka kwenye range mpaka baiskeli. Huyu kaka alivyo mchambaji jamani. Naomba iwe movie
Kuna video imevuja ya Wema na huyu jamaa wakifanya yao ana huyu jamaa ni msanii chipukizi wa Burundi ,
Wema ndo kawai kupost ili kuuwa soo.
Jamaa alikuwa anapkula tu atembee maana kashaoa na ana mke na mtoto
 
Weeee Mungu wangu. Hua wana record kutafuta nini au alirecordiwa bila kujua? Pole yake kwakweli yani wema hajulikani kwa mema ni mabaya tu sijui kwanini
 
Ils pck nasikia ana mke. Na yule jamaa alikuwa aamsifia mkewe kwa jinsi ampendavyo.
 
She dying for attention since their fame is dropping,
before everyday there was a story bout them now no
on really cares.. Sooner or later her sisters and that
hoe will walk around naked
 
Back
Top Bottom