Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Nikwambie kitu brooo wewe unamchukulia kihivyooo lakin ni kawaida sana,kuna staa mmoja jina kapuni wanafamiana na bwana angu sijui bwana angu anakula hapo cjui ila wanachat sana,yy anadai ni rafk lakin nina mashaka,nikakuta msg yake anaomba 10,000/ tu nikashanga sana hata huyu anaomba 10,000/
Hahaha
Nimecheka sana. Vyuma sio mchezo
 
Sema wema alivokua ukawa alitulia sana hakua na viujinga ujinga cha mitandao alikua anafanya mambo yake bila mitandao ya kijamii sasa karudi ccm akili yake imehama tena cjui imeenda miguuni
 
Sema wema alivokua ukawa alitulia sana hakua na viujinga ujinga cha mitandao alikua anafanya mambo yake bila mitandao ya kijamii sasa karudi ccm akili yake imehama tena cjui imeenda miguuni
Halafu huyu sii mwanamke wa singida.? Lazima ni shimo la panya kila kitu wamekata
 
Nikwambie kitu brooo wewe unamchukulia kihivyooo lakin ni kawaida sana,kuna staa mmoja jina kapuni wanafamiana na bwana angu sijui bwana angu anakula hapo cjui ila wanachat sana,yy anadai ni rafk lakin nina mashaka,nikakuta msg yake anaomba 10,000/ tu nikashanga sana hata huyu anaomba 10,000/
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ni video vixen
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 kweli maana madushe ya kila aina yamepita,ila wema katika list ya wanaume aliyepoteza ni clement wa ikulu maana aimfungulia endless fame ofisi zaidi ya milion 100 hadi receptionist anatumia MACNTOSH,Audi Q7,mjengo wa k/nyama wa milioni 400 samani za ndani kama zote 50m,Mark X,Harrier etc bahati haiji tena.
Ule wakati Wema alikuwa Wema, shopping za Dubai na kukaa 5* hotel. Alikuwa anapost viatu vya $3,000 insta. Sasa imebaki historia.
 
Maisha matamu sana zama hizi! Unakagua gari kwanza ulaji wa mafuta kabla halijaitwa lako, kisha unalihamishia kwako au unawaachia madereva wengine nao wajaribu kama ni madereva wazurikuliko wewe
 
acha masihara basiii hebu tupia picture yake hapa akiuza chips nicheke kidogo... so ilikuwaje mpaka akaacha kazi huko ikulu
hakuacha alitemeshwa baada ya skendo kuzidi unajua tena wema anamtajataja tu jamaa linaenda linamtoa
 
Back
Top Bottom