Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
HahahaNikwambie kitu brooo wewe unamchukulia kihivyooo lakin ni kawaida sana,kuna staa mmoja jina kapuni wanafamiana na bwana angu sijui bwana angu anakula hapo cjui ila wanachat sana,yy anadai ni rafk lakin nina mashaka,nikakuta msg yake anaomba 10,000/ tu nikashanga sana hata huyu anaomba 10,000/
Nimecheka sana. Vyuma sio mchezo