Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Wapo. Mie nina aunt yangu anamuitaga mdogo ake. Alikua anampenda balaa. Leo kamblock kila mahali anakwambia huyu atanipa gundu bureee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani ila kachemka mnooo
 
That's too much haloo...
Mnoo...higher extent yaani sio kwa kujidhalilisha huku.@simara namsubiri aje anipe koment yake Leo kaumbua watu kaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] mi sasa hv namchukulia kawaida tu
 
Huyo ndio yule mwanaume wa Dar aliyekuwa anakoroma kitandani na kumuacha mtoto kaboreka mpaka anapata muda wa kupiga selfie?
Yaani wanaume wa Dar sijui wakoje, yaani hata hii picha jamaa anaonekana anarembua yaani kazidiwa na Wema hapo kitandani. Hovyo sana wanaume wa dar.
Ni dharau sana na ni tusi kubwa sana kwa mwanaume uko kitandani na mtoto eti mtoto ana nguvu ya kunyanyua camera na kupiga selfie. Piga shoo mtoto asiwe na nguvu hata ya kunyanyua kwapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom