Huyu ndio Mwanamke, Wanaume tusidanganyane hatuwajui Wanawake


Hii akili, utulivu na mda ulotumia kuandika hapa ungetumia kwenye shughuli za maendeleo ungekuja kuwa tajiri
 
Ndiyo maana vijana wengi wanaangukia ma Single Mother! Single Mather ukiwa na miadi naye anakukimbilia ili asipoteze bahati, na masikini wavulana wanaona kapata kumbe mbele ya safari !!!!!!!
 
Huu mnyukano utaisha lini?
 
.......mkuu mnatutisha sasa sisi wenye wito wa kuoa, daah! na hivi tayari kuna bibie mmoja nataka nitume proposal......ngoja nivae helmet kabisa kuresist vifaa vyenye ncha kali, ambavyo soon vinaweza anza kuniangukia....
 
Tabu mnazo nyinyi aisee maana huwa mnahangaika sana huku mitaani, mabarabarani na kwenye stendi za mabasi mgongoni una mtoto na kichwani una beseni la mihogo, nazi na karanga kwa sababu HUWA HAMUELEWEKAGI KABISA
Mwenzio kajichoma moto huko,

Na badooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…