Huyu ndio Mwanamke, Wanaume tusidanganyane hatuwajui Wanawake

Ha haaa hapana jamani.
Nimewaza sasa nammulika na touching ili iweje πŸ˜…πŸ˜…
We Kuna mda lazm umshangae mwenzio ivi uyu mtu kweli unammulika kwanzπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… dk 30 ivi
 
Yan hata kwnye wanafunz wake alibeba kina petro ambae alijua atakuja kumsalit na eskaliot atakuja kumuuza..ila aliona bora asalitiwe/ auzwe na wanaume wenzake kuliko asalitiwe/kuuzwa na mwnamke Hapa nako kn Fumbo[emoji419] tuanzie hapa
Petro alimkana,Eskatiote alimsaliti
 
Kweli mnapata tabu sana, sio kwa gazeti hilo,
Na badooooo
Wanasaikolojia wanasema kama utaamua kumchukua Mwanamke na kuishi nae itakuchukua miaka 25 kumuelewa , kwa lugha rahisi utamuelewa Mwanamke mmeishazeeka sasa ya nini kujisumbua ? Wewe mpende tui li siku zako za kuishi hapa duniani ziwe nyingi , Sasa Wewe mchunguze ili siku zako za kuishi hapa duniani zipungue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…