Huyu ndio Mwanamke, Wanaume tusidanganyane hatuwajui Wanawake

Hawa viumbe wanajifanyaga 'jeuri' sana lakini tunajua pa kuwafinyia. Na karne hii watatuelewa tu hahahaa....
 
Hizi sifa za kijinga tulishakubaliana kuwa mwisho wake ni mwaka 2019 zilikufa na coronavirus. Sasa mambo yakutuletea sifa za kipuuzi kama as if ni sifa za msingi jua unatukosea sana.

Wanawake wanafanya haya matendo sababu wanaona post kama hizi so wanahisi kuwa this is life and thats how to treat men.

Hizi si tabia nzuri na sidhani kama kuna mwanaume anavutiwa nazo. Kumruhusu mtoto wa kike acheze na akili yako namna hii unakuwa unamjenga kiakili kutokukuheshimu au kutokukuchukulia serious. Mwanaume au mtoto wa kiume ambaye amekamilika jambo analotakiwa kulilinda ni heshima na utu wake.

Mtu akicheza na hivi vitu mrarue mara moja bila kujali lolote. Mfano kwa tabia aliyofanya huyu binti ulitakiwa hapo hapo usitishe mawasiliano naye. Iwe ndio bahati mbaya tena. Then unahamishia mizinga yako kwa mwanamke mwingine unaanza kufukuzia. Kuna makusudi MUNGU anayo kuweka wanawake wawe wengi kuliko wanaume maana anawajua hawa viumbe madhaifu yao. Leo mwanamke sio wa kukuringia kisa anakupa kitu ambacho ukienda kwa mwanamke mwingine unapata ladha ile ile.

Mwanamke thamani yake ni namna anakuheshimu na kukutii. Hakuna mwanamke anayevutia kama ambaye kwenye miadi anawahi kufika unakuta anakusubiria. Ila sio unafika yeye anachelewa anakuja amekuweka. Mimi mwanamke akiniweka zaidi ya nusu saa bila sababu za msingi kikao nakiahirisha najifanya nimepata dharula ili ajutie zile dakika 30 ambazo tungezitumia vema tungekuwa tumeshazungumza mambo mengi ya msingi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
"UNAWEZA KUSTUKA USIKU WA MANANE UKAKUKUTA MWANAMKE WAKO KASIMAMA NA ANAKUMULIKA NA TOCHI. [emoji23] [emoji23] "[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unaweza kuwa umeongea kama utani ila haya mambo yapo na mimi yalinikuta.

Nimelala zangu usingizi mzito ule wa asubuhi ilikuwa weekend. Nikahisi kama naota kitu yangu inaguswa. Dah usingizi mdogo mdogo ukazima nikaamka ile yataratibu nakuta manzi ananikagua mashine yangu na korodani dah, niliishiwa pozi.

Unajua hii kitu ikilala huwa wanaume hatunaga stimu za kuionyesha mimi personally huwa sipendi mwanamke aishike au kuitazama ikiwa imelala maana naamini itamkata stimu maana wanatakiwa kuiona ikiwa imedinda tu kwa mila zetu ili anapokuwaza anakumbuka mashine imesimama.

Dah nilimkata jicho sikusema kitu nikageuka tu na kujifunika vizuri ili nilale nikaona huyu mwanamke anaanza uchawi nini, unafanyaje kitendo kama hiki. Hivi mimi ningeamka usiku wa manane halafu nipo na tochi namkagua uke wake angenielewaje?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna cha kuwaelewa hawa ukiwaelewa jua sasa unaanza kutafuta wehu. Mwanaume kumuelewa mwanamke na kwenda nae vile anataka ni sawa na CEO kuenda kwa kufuata maelekezo ya muajiriwa au employees.

Mwanaume unatakiwa ukisema kushoto geuka mwanaume anafuata kinyume na hapo usiite upo katika mahusiano ya mwanaume na mwanamke, ni mahusiano ya mwanaume na mwanaume mwingine, na huo ni ushoga.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wanatuma picha za UCHI mtandaoni na kupitwa barabarani wamevaa utupu BIla aibu.Wakibakwa wanalipa Sana kama nguruwe mwitu.
 
Anaweza akanyoa nyusi zote halafu akapaka rangi nyeusi. Very very funny . Sijui wakoje. Anaweza kuvaa nguo fupi inaonyesha mpaka vya ndani halafu akifika mbele za watu ataanza kuishusha!
 
don't take things personal mkuu, ni kweli mwanaume anakuwa ni kiongozi ila sio boss,
siku zote kiongozi yupo kwaajili ya watu wake, ila boss yupo kwa maslahi yake...

unapoishi na mwanamke ni sawa kufata amri zako ila kunawakati itabidi uelewe pia na hisia zake, usiwe dominant sana..

hizi jinsia mbili tofauti ambzo kila moja ina nuture yake kutokana na uumbaji wake.

mfano; umerudi kazini umechelewa na sio kawaida yako...mkeo akiwa nyumbani atakuwa na wasi wasi kuhusu wewe na usalama wako.

Ila kutokna na nature wao walivyoumbwa ni ngumu kukwambia direct kwamba, unanipa wasi wasi ukichelewa kurudi, uwe unaipa taarifa..

badala yake anaweza kukuambia..mbona umechelewa kurudi...ila yeye kwa asili yake anahisi ni kawaida na kuonesha kujali kuhusu wewe na hyo ndo maana yake halisi.

sasa hapo yeye anachotka kusikia umwambie,...kwanza ukubali kwamba umekosea kutompa taarifa kama utachelewa kurudi...mfn

ni kweli mke wangu nimechlewa kurudi,sikukupa taarifa, nisamehe..then unamkumbatia.

hapo unakuwa umemaliza mgogoro kabisa anapata amani ya moyo..

ila kwa kesi yako wewe mkuu, kwa kuwa unataka kuwa dominant na ubinafsi hutaki kuwaelewa, na uhakika akikuuliza mbona umechelewa kurudi kazini..

ungejibu.. mimi ndo mwanaume humu ndani sipangiwi muda wa kurudi.

ndo hapo migogoro inapoanza munaona wanawake hawaeleweki kumbu staili zenu za kuishi nao ndo hazieleweki.
 
Unanikumbusha mbali sana. Wakati fulani nilikuwa na appointment. Mimi nimejiandaa kinoma toka asubuhi nawaza siamini kama naenda kula yule mrembo saa 1. Saa 12 tunachati vizuri anasema nisichelewe. Ilivyofika kasoro akawa hajibu sms. Nikapiga simu mara moja hapokei. Kesho yake nalaumiwa mimi kwa nini nilipiga simu mara 1 tu. Nilikuwa na mwanamke mwingine,nikaachika
 
Umemaliza kila kitu.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha,...kwahiyo ndo ikaishia hapo? Au
 
Mkuu vp unacho hicho kitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…