Huyu ndio Mwanamke, Wanaume tusidanganyane hatuwajui Wanawake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi ipooo.
 
Wavumbuzi na baadhi ya wana sayansi wakubwa duniani waliepuka hawa viumbe waitwao WANAWAKE!.
 
Kwahiyo hawezi kubadilika kabisa yani maana ata hapa wamepasoma na wameona wanavyo lalamikiwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata vingeandikwa vitabu 400 vya John Gray bado mwanamke haeleweki. Biblia imesema tuishi nao kwa akili. Kuna demu aliniblock ila baada ya siku chache akani-unblock na kuanza kunilaumu kwanini sikuwa nikimpigia.... ikabidi nicheke sana akasema nimemdharau. Siku nyingine nampigia simu asubuhi kumsalimia akawa anajibu mkato na kuonyesha ana hasira kali huku kama anasemeshwa na mtu wa kwao wakati anaongea na simu... ikabidi nimuage haraka kwasababu niliona hayuko kwenye mood. Jioni ananipigia na kunilaumu kwamba nina dharau.. nikauliza kivipi? Akajibu ina maana asbh sikugundua kuwa ana hasira hivyo kwanini sikumuuliza? Dah! Nilimwomba msamaha wa kinafiki na kumuahidi siku nyingine nikigundua ana hasira nitakuwa makini kumuuliza tatizo ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…