Inna morata
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 370
- 268
- Thread starter
- #201
haoana ila namshukuru mungu kuna watu wanatamani wawe kama mmChura ipo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haoana ila namshukuru mungu kuna watu wanatamani wawe kama mmChura ipo??
wasema weweNimewaza sana ,lengo lako kufutahisha au umeaanisha,maana kwa umati wa wanawake mlivyo ijaza Dar kuliko wanaume usingeweka vigezo vya vitisho kiasi hicho
Labda angekuwa X wife Mond tungewahi nafasi pale maana noti ipo
Nafikiri walioweka hili jukwaa hawakukosea kabisa, hakuna shida kuwa perfectionist kama utakutana na wa kufanana nawe.
Kwako unaona ni ajabu maybe kwakuwa hauna vigezo, ila mbona ni vigezo vya kawaida tu mwanaume kuwa navyo. Na sio kwamba hakuna mwanaume asie na vigezo hivyo.
Ndoa sio lelemama, hivyo mwacheni apate watakaeendana.
Wewe kuwa na vigezo vya mkeo haimaanishi ni vigezo vya kila mwanamke.
hapanaSi bure mleta mada ni dume.
Hembu ni inbox number nikuonetatizo lako chura? mm sina ila namshukuru mungu hicho kidogo nilichonacho.
dia huyo atakuwa sio wanguJamaa wana watoto humu!!! Ukitaka mume jf kuwa mama wa kambo hakuepukiki
Hahahaaa, le mutuz le mburulaz!Mpeni le mutuz
Si ndio maana hauna vigezo!!!Vigezo gani?, yaani wewe kumuwekea vigezo mwanaume, ni sawa sawa na mfano wa bidhaa na mnunuzi, mwanaume ni mnunuzi, wewe ni bidhaa, hivyo ni jukumu la mnunuzi, kuchagua ubora wa bidhaa anayotaka, na wala siyo bidhaa kumpangia mnunuzi.
Mpendwa hata wewe hauna vigezo?Si bure mleta mada ni dume.
Mkuu, me nilitaka kujua tatizo nn aswaa....ila kwa maswali yako uliyouliza ujawai hata moja....Ulishaona nimeleta tangazo la kutafuta Mme humu?
Au nilishawahi kukutaka?
Victimised ? Don't be so bitter sob upSIFA NUMBER 6.
Body size ni moja ya kigezo cha mwanaume kua Gentlemen???
Wapi uliona hio? Nani kasema? Bullshit...
Being a Gentleman is all about actions/ affections towards a woman or man.
Any man who shows affection to a woman is highly considered to be a gentleman..
Body size is not and it will never be a guarantee for a any man being a gentleman.
Hahahaha! I wish I could see you physically.....
asanteMtoto acha kupiga mayowe. Kama unahivyo vigezo vitaonekana kwenye vitendo na uhalisia na sio kuvitamka na kuvipamba kwa maneno lukuki.
Ni binadamu yupi ambaye akipewa nafasi yakujisifia atajisema kwa mabaya? Hakika hakuna na hatakuwepo chini ya jua.
Kwakifupi wewe ni msanii kama walivyo wasanii wenzako wa bongo movie na wala sio mwanamke sahihi kwenye ndoa.
Hao wenye sifa unazotaka nao wanataka sifa ya chura, kama huna basi kalale!tatizo lako chura? mm sina ila namshukuru mungu hicho kidogo nilichonacho.