Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

salam sana ama baada ya sala je haujambo? kama hujambo ndio.....!!
 
Nenda kinondoni pale makaburini wapo wengi ukazoe
 
Wasifu wako unapungukiwa umri wako, hebu tuambie huo umri. Yawezekana Uko over 30 yrs (risk of uterine fibroids ni kubwa), 43,44 yrs (premenopause syndrome inakunyemelea, au over 45 yrs (post menopause)..... Mie pia napenda watoto kama umri wako umesonga mbele Mmh endelea kusubilia ambae haelewi umuhimu wa umri kwa wanawake
 
Aseeh nikama Nimependa Tangazo lako ila badilisha r hizo maana mke tupo chumbani unaniambia baby I rove you nitakimbia.

Kila la kheri kigezo cha kucha kimenikosesha mke na cha r.
Dah
 
Mm nina vigezo vyote hivyo ila nataka na ww uwe mwanamwali na chura ya kutosha. Kama hvyo vigezo viwili unavyo jbu
 
Aseeh nikama Nimependa Tangazo lako ila badilisha r hizo maana mke tupo chumbani unaniambia baby I rove you nitakimbia.

Kila la kheri kigezo cha kucha kimenikosesha mke na cha r.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Lrigwanani kitambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…