Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

sorry nikiwa mdogo niliishi sehemu ambapo hawatumii kiswahili so r na l sometimes zinanichanganya
Kawaida sana kwenye uandishi...kubwa ni content.
Ulichokilenga kimeeleweka...subiri pm.
Mwenyezimungu akujaalie...kigezo cha dini na ndoa vinakufanya unikose.Ulistahili uwe mke wangu wa pili na usingejutia hata mara moja.
Karibu sana...!
 
Hapo naona umeweka mwenye miaka 34+ ila kwasifa hizi unazotaka utaweka bandiko lingine hapa mwaka 2020 ukihitaji mwenye 45+ Trust me
 
Mkuu ungepitia kwanza wenzio waliofanya hivo walifanyeje na uzoefu unasemaje??

Hapa nadhani ungetoka na mawazo m badala sana kuliko hivi ulivoongea kwa hasira.

Angalizo:-
Mpaka unamaliza digrii mwanaume aliyemaliza digrii kashakushusha kwenye cv zake.
Hawa nao waliomaliza digrii amini usi amini kigezo cha wewe kuwa na digrii kinakushusha cv binti yangu.

Ningependa kuliko kutanguliza vigezo vingi kama unatangaza kazi TRA, ni bora ungemtanguliza Mungu kwanza.

Kujiamini kwa mwanamke kuliko pitiliza, mwisho wa siku humletea majuto maishani, kwani humjengea kiburi na jeuri.

Usifikirie kuwa wale walio masingo mama kuwa hawakuwa na akili na malezi kama uliyo nayo,
Naamini wengine watakuwa wanakuzidi kwa kila kitu mpaka kipato.

Kwa hiyo upunguze dharau wewe hujawahi sema kweli hata kidogo.

Bali muda ndio msema kweli.

Naamini ukikazana hivi kwa kumwacha Mungu nyuma itakuwa ni chanzo cha masingo mama na watu waliopitwa na muda wa ndoa.

Mtangulize Mungu kwanza kwa kila jambo.
asante najiamini sijaamua kufanya hili peke yangu haswaaaaaa nimemuhusisha mungu najitambua dia usiwe na shaka mm sio cheap kiasi
Mkuu ungepitia kwanza wenzio waliofanya hivo walifanyeje na uzoefu unasemaje??

Hapa nadhani ungetoka na mawazo m badala sana kuliko hivi ulivoongea kwa hasira.

Angalizo:-
Mpaka unamaliza digrii mwanaume aliyemaliza digrii kashakushusha kwenye cv zake.
Hawa nao waliomaliza digrii amini usi amini kigezo cha wewe kuwa na digrii kinakushusha cv binti yangu.

Ningependa kuliko kutanguliza vigezo vingi kama unatangaza kazi TRA, ni bora ungemtanguliza Mungu kwanza.

Kujiamini kwa mwanamke kuliko pitiliza, mwisho wa siku humletea majuto maishani, kwani humjengea kiburi na jeuri.

Usifikirie kuwa wale walio masingo mama kuwa hawakuwa na akili na malezi kama uliyo nayo,
Naamini wengine watakuwa wanakuzidi kwa kila kitu mpaka kipato.

Kwa hiyo upunguze dharau wewe hujawahi sema kweli hata kidogo.

Bali muda ndio msema kweli.

Naamini ukikazana hivi kwa kumwacha Mungu nyuma itakuwa ni chanzo cha masingo mama na watu waliopitwa na muda wa ndoa.

Mtangulize Mungu kwanza kwa kila jambo.
kuwa na amani sijafanya peke yangu nimemuhusisha mwenye uwezo kuzidi binadamu. najiamini. asante nishamehe pale ambapo nimekosea hasa kwenye maandishi yangu
 
Sifa yako ya 12 Mimi siiwezi, yaani hutaki mumeo azidiwe maendeleo na mtu? Utasubiri sana.
 
Back
Top Bottom