Inna morata
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 370
- 268
- Thread starter
- #481
nitumie vocha nimpigiehuyo unayemtaka anapatikana mbinguni tu hivyo nakushauri umpigie Mungu simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitumie vocha nimpigiehuyo unayemtaka anapatikana mbinguni tu hivyo nakushauri umpigie Mungu simu
jaribu kujiua/kufa utakutana nayenitumie vocha nimpigie
ahaaaaaaaa umenichekesha sana. sio hivyo basi tu napenda usafiiiKwanza hiyo sifa ya usafi ulio pitiliza imekuangusha pesa zote zitaishia kwenye vipodozi na mwanaume atashindwa kutafuta pesa maana mda wote itabidi awe bafuni na kwenye kioo
una uhakika sujamuhusisha mungu? nenda kaangalie mpira asante baba kwa kuchangiaSijawah kusikia Gulio au Mnada wa wanaume ningekushauri uende gulioni na minadani.
Mafundisho yanasema mume/ mke bora anatoka kwa Bwana, huyo mume umtakae pamoja na ww nyie sio wa ulimwengu huu kwa maana hamtok kwa bwana, kama umeweza kupanga sifa za umtakae bila ubishi ukimpata utaweza kumpangia vya kufanya.
Tatizo katutupa wahaya, daah hajui kuwa wanaume wa kihaya siku hizi wanatafutwa.Nimelipenda hili tangazo, sijui kwanini ila nimelipenda mno.
WANAUME kazi kwenu.
Uhakika gan unaoutaka ilhali sina mawasiliano na Mungu, jana Eden Hazard akiwa kwenye ubora wake nilimpga mtu goli4 hivyo ratba ya mpira haipo leo bali nipo nafuatilia huyu mwanaume msafiiii mweusi kidogo mwenye kamradi aliyewah kwenda nje ya nchi + sifa zingine ni wap atatokea kwenye Tanzania hii maana Tanzania imebarikiwa kila kituuna uhakika sujamuhusisha mungu? nenda kaangalie mpira asante baba kwa kuchangia
Inna umemfanyaje huyu mzee lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Embu muiteni trump aje atie neno hapa
kwa kigezo iki kaolewe na bill gate12 napenda sana competition sipend mme wangu azidiwe na wanaume wengine hasa kimaendeleo