Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Nimecheka mpaka basi mashart kama ya mganga WA kienyeji sijui kama atapatikana huyo mwanaume anyway kila la heri
 
Sijawah kusikia Gulio au Mnada wa wanaume ningekushauri uende gulioni na minadani.
Mafundisho yanasema mume/ mke bora anatoka kwa Bwana, huyo mume umtakae pamoja na ww nyie sio wa ulimwengu huu kwa maana hamtok kwa bwana, kama umeweza kupanga sifa za umtakae bila ubishi ukimpata utaweza kumpangia vya kufanya.
 
Kwanza hiyo sifa ya usafi ulio pitiliza imekuangusha pesa zote zitaishia kwenye vipodozi na mwanaume atashindwa kutafuta pesa maana mda wote itabidi awe bafuni na kwenye kioo
ahaaaaaaaa umenichekesha sana. sio hivyo basi tu napenda usafiii
 
Sijawah kusikia Gulio au Mnada wa wanaume ningekushauri uende gulioni na minadani.
Mafundisho yanasema mume/ mke bora anatoka kwa Bwana, huyo mume umtakae pamoja na ww nyie sio wa ulimwengu huu kwa maana hamtok kwa bwana, kama umeweza kupanga sifa za umtakae bila ubishi ukimpata utaweza kumpangia vya kufanya.
una uhakika sujamuhusisha mungu? nenda kaangalie mpira asante baba kwa kuchangia
 
Nakushauri usifanye matangazo ya mume mitandaoni, kama Kweli ni mcha Mungu, mwombe Mungu kwa imani atakupa anayefanana na wewe, kuna Siri kubwa kwa Mungu Kuhusu mume/mke, Kwani Mwenza mwema ana zaidi ya sifa ulizozitaja, unaweza pata mwenye sifa hizo ukashangaa msimalize hata mwaka, sifa za macho hazitakupa furaha kwenye ndoa, NARUDIA mume ni zaidi ya sifa uzitakazo. Mungu peke ake atakupa akufaaye, ila uwe mcha Mungu kwelikweli na kumbuka ucha Mungu sio kuacha uzinzi tu, ni pamoja na ulevi, umbea, uchoyo, dharau, kiburi, fitina na mengine yanayofanana na hayo bila kusahau kusamehe, kuwaombea na kuwajali wengine na kuwa mtoaji kwa wahitaji na kanisani (kama bibilia inavyoelekeza)
 
Dini hapo lazma nitoke nduki mana hatuwezi ruka p1 tena kama tufananao
 
Kama una sifa zoot hizi,y umekosa mume dada angu?..au ndo kajitu kafup kifutu shapeless,...rang ya ajabu..sabab kwa sifa zote hzo usingetafta mtu mtandaon dada angu..we una kasoro flan lazma ambayo we mwenyew unaijua.
 
Kila la kheri mkuu.

Ila umesema umemiss vitu vingi kama kukumbatiwa ambapo zamani ulikuwa unavipata, na inadhirisha ulipitia hivyo vitu.
 
una uhakika sujamuhusisha mungu? nenda kaangalie mpira asante baba kwa kuchangia
Uhakika gan unaoutaka ilhali sina mawasiliano na Mungu, jana Eden Hazard akiwa kwenye ubora wake nilimpga mtu goli4 hivyo ratba ya mpira haipo leo bali nipo nafuatilia huyu mwanaume msafiiii mweusi kidogo mwenye kamradi aliyewah kwenda nje ya nchi + sifa zingine ni wap atatokea kwenye Tanzania hii maana Tanzania imebarikiwa kila kitu
 
Acha kuota ndoto za mchana, ndoto za abunuasi, nakushauri ujioe mwenyewe.... alafu mwanamke hachagui mwanaume ila anachaguliwa na mwanaume, hao uliwakataa wakuoe huko mtaani kwenu Utakuja kujuta majuto ni mjukuu
 
Mwanaume

[emoji778]️ miaka 34 awe na mama mzazi

[emoji778]️ mwanaume awe mwembamba alafu miaka 34 ukimpata bahati! Na ukimpata ashaelemewa na kitambi cha bia

[emoji778]️ mwanaume miaka 34 awe tu ana kusubiri wewe hasiwe ata na mtoto wa kusingiziwa a kusubiri wewe tuu

Weka miaka yako nawewe tupime kama unafaa.
Weka na kipino chako cha IQ hapa.
Weka picha tuone kama umebarikiwa zawadi ya kudumu wo x3


N.B. Katika maisha hakuna competition, kila mtu ana timeline yake anayo tembelea. Usipende competition. Maisha hayana wa kwanza wala wa mwisho.
Usisahaukuleta mrejesho utakapo mpata

[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
 
Back
Top Bottom