Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Halafu mbona sifa sifa zako chache zaidi kuliko umtakaye?!
Wewe una walakini! HUFAI..
 
6. Gentlemanship na body size wapi na wapi mama! A gentleman ni mtu muungwana mama na haina uhusiano na muonekano wa mwili. Baadhi ya sifa za mwanaume muungwana (a gentleman) ni kama vile kumshikia mwavuli mwanamke wakati wa mvua, kumsogezea kiti mwanamke aketi vema, kutembea upande ulio karibu na magari atembeapo na mwanamke, kumfungulia mlango wa gari mwanamke yeye akiwa nje ya gari na kuufunga kabla ya yeye 'gentleman' naye kuingia ndani ya gari hilo hilo n.k. Huyo ndio mwanaume unayeweza kum classify kama gentleman na sio mwenye mwili unaopendezwa na mavazi kama ulivyodhani.
 
Makelele ya chura hayamzuii tembo kunywa maji

Hutaki mhaya wakati we mwenyewe una sifa za kihaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…