Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Kwanza nikupongeze kwa ku eleza uma hitaji lako kuhusu aina ya mume unaehitaji kuw nae. Endelea kuomba Mungu , huenda ndoto zako zikaj timia.
 
Sifa namba 2 wamejaa WCB wa kutosha...
 
Ungekua Mcha Mungu wala usingeandika hizo ngonjera zote au labda hujui maana ya kua mcha Mungu, mcha Mungu anaekosoa mpaka uumbaji wa Mungu kweli? Jiandae kupata waigizaji wakurarueeee mpaka ufurahi na mwisho utakuja na uzi unaosema Natafuta mume sifa awe anadinda tu...Hapo ni baada ya kufikisha 35 years
 
Hapo namba 15,ndio umeharibu kabisa,sifa zote ninazo,hapo tu,anyway kila la kheri,ila umekosa Lexus,wacha iendelee kupaki hm,akipatikana baby mama,ataendesha,
 
Bahati nzuri, mi mhaya, halisi.Na ninajua mchagua nazi, uinukia koroma.
 
wenye sifa wote tumeoa, na sifa nyingi kati ya ulizoweka tumezipata ndani ya ndoa. kazi ni kwako.
 
s
sio kwa pve hili mkuu na wewe kabandike uzi ujimwae na vigezo vyako achana na uzi wangu.
 
Hapo namba 15,ndio umeharibu kabisa,sifa zote ninazo,hapo tu,anyway kila la kheri,ila umekosa Lexus,wacha iendelee kupaki hm,akipatikana baby mama,ataendesha,
ahaaaa pole hicho kifezo ni muhimu kwangu sio kwamba nabagua dia. nina sababu.
 
Mbona ujasema kama chura unayo au ???
 
Ujana maji ya moto, ngoja umri usogee utatamani kuolewa hata mke wa pili. Wewe badala ya kumuomba Mungu umpate atakayeendana na kusikilizana na wewe unaleta nasharti utafikili unatafuda modol.
 
Mwanaume msafi??? .. hapo mtihani upo
Boya huyu, hajui kuwa usafi wa mwanaume unategemea na mke aliyenaye.

Kwa taarifa yako ni kaida kwa mwanaume bachelor kwenda kununua boxer zingine baada ya alizokuwa nazo zote kuchafuka.
 
Boya huyu, hajui kuwa usafi wa mwanaume unategemea na mke aliyenaye.

Kwa taarifa yako ni kaida kwa mwanaume bachelor kwenda kununua boxer zingine baada ya alizokuwa nazo zote kuchafuka.
tulia usafi sio kila mtu anaweza, nina mfano mzuri tu wifi yangu ndi msafi kwelikweli ila kaka yangu sijui yupoje? anaweza kukuta mke anadeki wala hajali anapita na viatu , mtu unajiuliza kisa nyumba kajenga yeye? koj.o.a ulale dia.
 
Huyo kaka yako siyo mchafu bali hana heshima.. Na inaonekana mmekosa malezi bora kwenu.

Kaka yako anaingia na viatu ndani na wewe ndiyo kama hivyo tena.

Poleni sana.
 
Nenda kwa wachonga vinyago then mwelezee hizo sifa atakuchongea huyo mumeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…