Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Inna Morata.... Jina lenyewe unaonekana mbishi sana wewe Mwanamke.. Toka lini Mwanamke anajijua kuwa ni msafi kupitiliza halafu black current???? halafu eti yeye mvumilivu ungekuwa mvumilivu ungefikisha miaka 30 hujaolewa? Nenda hukoooo
Nimecheka sana mkuu! Unaijua saikolojia inaonekana.
Commeny yangu "huyu anaonekana ni msichana mwenye chembe chembe za musoma, ndugu zangu wanawake wa Musoma ndio wana hizi tabia nawasihi wapunguze haya mawazo, wanakuwaga na vigezo vingi kuliko uhalisia wao wenyewe, wanakuwa wako tayari kuachana kuliko kudumu kwenye ndoa, wanakuwa wako na jicho kali la kumchunguza mwenza kuliko kujichunguza wao kwanza"



Hitimisho langu, Wanawake wa kichaga wakaiona hiyo fursa, angalia ndoa za sasa ni mtu na mchaga, mtu fulani mke mchaga.
Nyie endeleeni kuandaa list ya vigezo ambavyo hata Adamu katika bustani ya maraha Eden hakuwahi kuwa navyo


Waza kidogo Eva angemwambia Adam uwe umesafiri kidogo ndio uwe mtu wangu
Na sidhani Eva aliwah mshaur Adam awe na Biashara/mradi

Love is love ukitaka kuyaunganisha na foleni ya vitu unakuwa una dilute love and it wont exist whatever the case.
 
Hufai kiongozi, si kwa kusema ukwel wa aina hii! Ukiitwa kumua nyoka jicheleweshe kidogo tuone purukushani! Sasa ww umekuja na mpini na kupiga kichwani. Hujatenda haki.
 
* Kwanza: nikutakie heri katika utafutaji wako Mungu akupe hitaji la moyo wako ila mbinguni sio duniani kwa sifa hizo.
* Pili: naomba unijibu swali dogo tu kulingana na kipengele chako cha namba mbili (2). Wewe umesema ni msafi msafi kupitiliza, je ukimaliza kufanya shughuli zako unajua kuoga janaba? Au unatrmbea nalo usiku na mchana miaka nenda miaka rudi? Naomba unijibu hapo.
* Tatu: wewe ni mwanamke usiejitambua, acha kupenda sifa na kujikweza kusiko mfano. Et mwanaume mrefu kwani we ni fundi umeme unataka kumfanya ngazi ufunge waya?
* Nne: kwa style hiyo utafikisha hadi miaka 50 haupati mume wa kukuowa hata siku moja.
*Tano: mi binafsi namshukuru Mungu kwa kunipa mke bora na wala sio bora mke kama wewe. Sijakuona kwa sura lakini mke wangu humuingii kwa chochote sura umbo na tabia. Lakini pamoja na umaskini wangu hakuwahi kuniekea vikwazo kama unavyotaka wewe.
Kubwa alichonipendea sinywi pombe wala sivuti sigara, we subiri wa mbinguni sio hapa. BLOOD FOOL.
 

Mwenye 34+ , hana mtoto atakuwa na tatizo tuu.
 
Aseeh nikama Nimependa Tangazo lako ila badilisha r hizo maana mke tupo chumbani unaniambia baby I rove you nitakimbia.

Kila la kheri kigezo cha kucha kimenikosesha mke na cha r.
Mkuu, atakuwa Mkurya huyu.
 
Hufai kiongozi, si kwa kusema ukwel wa aina hii! Ukiitwa kumua nyoka jicheleweshe kidogo tuone purukushani! Sasa ww umekuja na mpini na kupiga kichwani. Hujatenda haki.
Hahahahahahaha nisamehe sana Mkuu. Ila msema kweli Mpenzi wa Mungu
 
sidhani kama nilishakanyaga musoma, anyway sina haja ya kubishana na wewe dia unaweza kufungua uzi wako dia.
 
Inna Morata.... Jina lenyewe unaonekana mbishi sana wewe Mwanamke.. Toka lini Mwanamke anajijua kuwa ni msafi kupitiliza halafu black current???? halafu eti yeye mvumilivu ungekuwa mvumilivu ungefikisha miaka 30 hujaolewa? Nenda hukoooo
Bikra ipo
 
Una miaka mingapi???
 
Perfectly commented!.. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Umri wako tafadhali.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…