Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Huyu bibie akuulizwa unae chura hajibu kwa kua hana na huo ndo ugonjwa mkubwa wa wanaume.anyway najaribu tu kuangalia nitarudi na strong point sooon
 
kama ningeweka sifa zangu zote nilizonazo mgetoa povu pipa zima. kwa sasa endelea kuamini hizo kila mtu ana sifa zake tulia.
 
Nadhani umeshindikana huko mitaani, makanisani na kwengineko kwa sababu zifatazo

1:bibie ni unajifanya ni mjuaji kupitiliza hakuna usichokijua.

2:Bibi uko na mdomo mrefu wa kujibujibu kila mtu inaezekana hata wazazi wako nyumban wamekuchoka na kidomodomo chako.

3:Bibie una lugha chafu ambayo haina staha.lugha za kwenye ma bar na stendi.

4:Bibie Unajiamini kupitiliza huna kiasi.Katika maisha lazima uwe kiasi.

5:Bibie anaonekana ama anajifanya yuko na elimu kubwa ila bado hajaelimika.

Katika mapenzi mikwaruzano ni kawaida na inaongeza chachu ya mapenzi.Sasa ikitokea mmekwaruzana mnatatuaje kwa mwanamke wa namna hii? Na bibie ni aina ya wanawake ambao kila kitu wanajionaga wako Right!!! Hawakoseagi na hawasahuriki.Nadhani mwanaume anayetakiwa hapa awe mnyonge atapelekwapelekwa vibaya mno mpaka atajuta.hii ndo staili ya wale ma bibie ukirudi miangaikoni anataka hadi akusachi mifuko yote.

Anyway ni tathimini yangu tu usichukulie personal.
God be with you.
Asante

NB:KIZURI CHAJIUZA...............
 
haya maneno yaliishaandikwa kwenye kanga embu sema jingine dogo. wakati unatoa povu wenzako wanamiminika pm ahaaaaa shame on u dogo langu.

mbona hivyo dia vyuma vimekaza? polee.ahaaa umewaza madada yako yalivyoshindikana unavuta picha kunifananisha? pole sana

dia acha kurusharusha miguu tulia unyolewe
 
Soon mtagundua mnayebishana naye ni mwanaume mwenzenu....
Huyu anawa enjoy otherwise she is in her 16...
 
Checklist hii inatisha. Mmmmmm haya kila la kheir tunaomba mrejesho pia kama utampata mwenye kutimiza vigezo hivyo
 
una target kupata mali zake awe anakupa akiwa na mtoto nje atagombania urithi wa mumeo sifa zote hizi humpati ila wewe utapatikana
 
haya maneno yaliishaandikwa kwenye kanga embu sema jingine dogo. wakati unatoa povu wenzako wanamiminika pm ahaaaaa shame on u dogo langu.

mbona hivyo dia vyuma vimekaza? polee.ahaaa umewaza madada yako yalivyoshindikana unavuta picha kunifananisha? pole sana

dia acha kurusharusha miguu tulia unyolewe
Kwa kauli zako hizo utaishia kipigwa mashine mpaka maji uite Mma
 
Hope you're age is between 22-27 I will meet with you at the age of 32-35 masharti yako totally yatapungua Kwa Kasi Sana. Muhimu Ni kumshirikisha Mungu.
 
Kwa kauli zako hizo utaishia kipigwa mashine mpaka maji uite Mma
waulize walokuja pm wangapi wamenipiga mashine? na waulize kama kuna mwenye no yangu? mm ni mke wa mtu mtarajiwa. ingawa sijajua huyo mtu ni nani so lazima niwe makini.ahaaaaa wish u know me
 
Back
Top Bottom