Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Kila mtu anahitaji kuwa na mtu anayempenda. Hebu acha mapenzi yaje yenyewe. Na siyo kila vigezo ulivyoandika vitatimia.
Kuna sentensi mmoja uliyoandika ''ni aibu kubwa kwa mwanamke kumtaka mwanaume amuoe'' nimeparaphrase lkn umeiandika.
"Mwenye maamuzi ya kuoa ni mwanaume, mwanamke ni msababishi wa kuwepo au kutokuwepo kwa ndoa'' Una 30yrs lkn vigezo ulivyoviweka ni vya kuombea kazi.
Mwisho wa siku pamoja na vigezo ulivyoviweka unajikuta single mom, unaishi na mtoto au watoto. Unalala na kuamka pekee yako. Hapo ndipo huwa nachoka sasa.
Sio lazima apatikane dia akikosa sawa
 
HALAFU MKUU HUYU MWANAUME UNAE MTAKA HAYUPO HAPA DUNIANI [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
NAAMINI HATA KAKA AKO HANA HIZI SIFA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Una kitu gani cha zaidi ambacho vigezo vingi ambavyo wanawake wengine hawana pitaaa kuleee
 
Wacha utoto sasa no yako utawekaje hapa sebuleni? Ahaaaa hata siichukui
Km ulithubutu kuandika thread yako humu ukitafuta mwanaume wa kukuoa. Kivip hautaki kuchukua namba? Hapo amekurahisishia kazi.
Kwamm huwa nashangaa sana ninapoona mwanamke anahangaika kutafuta mume wa kumuoa.
Kwa jinsi mnavyogombaniwa km mpira wa kona halafu leo unasema umekosa? Nahisi ni maigizo tu.
Huwa naona wanawake wanaoandika thread ya kutafuta wenzi huwa ni waongo, lengo lao ni kutuchora tu.
Mm nilikuwa na mwanamke tuliyependana sana lkn alikuja badilika, vituko na dharau kila siku. Chanzo cha yote kapata mwanaume huko. Ikabidi niondoke kimya kimya nisije kufa kwa pressure. Unaweza kuniambia huyo mwanamke bado hajaolewa au hana mtu huko?
Kwa jinsi ninavyoona watoto wa kiume tunavyohangaika kuwapata nyie halafu leo uniambie hauna mtu. Siyo kweli lbd km unafanya biashara
 
Wacha nitafuti kitu roho inataka. Na akikosa sio issue. Afu usione MTU kaja hapa kusema ya moyo ukamdhania mabaya, huwezi kujua ni nini limemkuta, huwezi kujua ni kiasi gani moyo umeshindwa kuimili maumivu. Kojoa tu ulale dia moyo wa MTU kichaka.
 
Pole sana. Endelea kujipa moyo na kujifariji kusubiria meli airport (Kwa sifa ulizoweka ni sawa na kusubiri meli airport).
Wanawake mnahangaika, mnabagua. Anakuja mwanaume kukuoa unakataa unataka mwenye sifa unazomtaka lkn mwisho wa siku unaishia kuwa single mom na unalala pekee yako ili kujifariji unakuta kishikaji au mume wa mtu ndiyo anapiga.
Pole sana. Kwa sifa hizo utajikuta unazeeka bado unasubiri.
 
Bahati Nzuri sitazeekea kwenu. Na huna haja ya kunambia haya yote, ukiona Uzi wangu haukufai pita kimya kwan ni kes? Kha!
 
Wewe huna Baba, unataka mumeo ndiyo umuite baba na awe na Misifa yote hiyo. Basi zaa wako halafu umtengeneze aje akuowe... Watoto wa wenzio tuache kabisa hatuowi wabaguzi sisi.. Shame on u na utazeeka ukiwa kwako na mwisho wa siku utakata Tamaa na utajiona huna thamani na ndiyo hapo utatoa mwanya kwa Wazee kuanza kukwea mnazi.... Napita tu
 
Wanawake walivyo wengi hivi, na Wazuri halafu atokee mtu na masharti yake hapa. Labda hukupita chuo kikuu mkuu
 
Back
Top Bottom