shabani kanjibah
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 154
- 76
Hahahaha nimecheka mpaka kwenye gari nililopanda wamestukaMama hujaeleza hadi mwisho, mkia unao?
Kabla sijafikiria kwenda pm nijue kabisa unavuta trela au ni kama vits nyuma imekatwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha nimecheka mpaka kwenye gari nililopanda wamestukaMama hujaeleza hadi mwisho, mkia unao?
Kabla sijafikiria kwenda pm nijue kabisa unavuta trela au ni kama vits nyuma imekatwa?
Mwanaume haogopiKuogopa lazima vigezo vimepita kiasi kama vile hauko serious
Sio lazima apatikane dia akikosa sawaKila mtu anahitaji kuwa na mtu anayempenda. Hebu acha mapenzi yaje yenyewe. Na siyo kila vigezo ulivyoandika vitatimia.
Kuna sentensi mmoja uliyoandika ''ni aibu kubwa kwa mwanamke kumtaka mwanaume amuoe'' nimeparaphrase lkn umeiandika.
"Mwenye maamuzi ya kuoa ni mwanaume, mwanamke ni msababishi wa kuwepo au kutokuwepo kwa ndoa'' Una 30yrs lkn vigezo ulivyoviweka ni vya kuombea kazi.
Mwisho wa siku pamoja na vigezo ulivyoviweka unajikuta single mom, unaishi na mtoto au watoto. Unalala na kuamka pekee yako. Hapo ndipo huwa nachoka sasa.
Wacha utoto sasa no yako utawekaje hapa sebuleni? Ahaaaa hata siichukuiNitumie namba yako, yangu ni 0754757895
Km ulithubutu kuandika thread yako humu ukitafuta mwanaume wa kukuoa. Kivip hautaki kuchukua namba? Hapo amekurahisishia kazi.Wacha utoto sasa no yako utawekaje hapa sebuleni? Ahaaaa hata siichukui
Hakuna binadam hacyekua na woga .Mwanaume haogopi
Mmh okHakuna binadam hacyekua na woga .
Wacha nitafuti kitu roho inataka. Na akikosa sio issue. Afu usione MTU kaja hapa kusema ya moyo ukamdhania mabaya, huwezi kujua ni nini limemkuta, huwezi kujua ni kiasi gani moyo umeshindwa kuimili maumivu. Kojoa tu ulale dia moyo wa MTU kichaka.Km ulithubutu kuandika thread yako humu ukitafuta mwanaume wa kukuoa. Kivip hautaki kuchukua namba? Hapo amekurahisishia kazi.
Kwamm huwa nashangaa sana ninapoona mwanamke anahangaika kutafuta mume wa kumuoa.
Kwa jinsi mnavyogombaniwa km mpira wa kona halafu leo unasema umekosa? Nahisi ni maigizo tu.
Huwa naona wanawake wanaoandika thread ya kutafuta wenzi huwa ni waongo, lengo lao ni kutuchora tu.
Mm nilikuwa na mwanamke tuliyependana sana lkn alikuja badilika, vituko na dharau kila siku. Chanzo cha yote kapata mwanaume huko. Ikabidi niondoke kimya kimya nisije kufa kwa pressure. Unaweza kuniambia huyo mwanamke bado hajaolewa au hana mtu huko?
Kwa jinsi ninavyoona watoto wa kiume tunavyohangaika kuwapata nyie halafu leo uniambie hauna mtu. Siyo kweli lbd km unafanya biashara
Pole sana. Endelea kujipa moyo na kujifariji kusubiria meli airport (Kwa sifa ulizoweka ni sawa na kusubiri meli airport).Wacha nitafuti kitu roho inataka. Na akikosa sio issue. Afu usione MTU kaja hapa kusema ya moyo ukamdhania mabaya, huwezi kujua ni nini limemkuta, huwezi kujua ni kiasi gani moyo umeshindwa kuimili maumivu. Kojoa tu ulale dia moyo wa MTU kichaka.
Bahati Nzuri sitazeekea kwenu. Na huna haja ya kunambia haya yote, ukiona Uzi wangu haukufai pita kimya kwan ni kes? Kha!Pole sana. Endelea kujipa moyo na kujifariji kusubiria meli airport (Kwa sifa ulizoweka ni sawa na kusubiri meli airport).
Wanawake mnahangaika, mnabagua. Anakuja mwanaume kukuoa unakataa unataka mwenye sifa unazomtaka lkn mwisho wa siku unaishia kuwa single mom na unalala pekee yako ili kujifariji unakuta kishikaji au mume wa mtu ndiyo anapiga.
Pole sana. Kwa sifa hizo utajikuta unazeeka bado unasubiri.