Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Huyu hana akili sawa sawa. Day dreamer......mtu anawwza kuwa na sifa zote asipokuwa RC basi humtaki? Bangi za wapi hizi.......mi nakwambia hivi....mwanamke mzuri hafiki 30 hajaolewa. We una tatizo sana na inaonekana una kibri na jeuri...unaona unajikubali sana. Pole.
Haya mi sijaajiriwa maana umesema awe na mradi na ajira. Mi sijaajiriwa na mtu je sifai? Dada jiangalie...you're day dreamer
 
34+ sina mtoto wala mke....mtafutaji? Hizo pesa namtafutia nani miaka yote hiyo nipo single?
 
Swali la kujiuliza, ukiwa na baba yako mfupi....how do you feel unapokuwa naye? Basi hiyo feeling ndo uwe nayo kwa mumeo. Ni mindset tu
 
Povu mpaka unatia kinyaa Mdogo wangu
 
Wanawake walivyo wengi hivi, na Wazuri halafu atokee mtu na masharti yake hapa. Labda hukupita chuo kikuu mkuu
Nimepita sana tuu ila kumbuka mm sio hao wanawake zako unaowamaanisha, utajiju. Ahaaa eti wengi? Wewe una wa ngapi?
 
Mbona wewe hujasema umri wako? Utasubiri sana kuolewa namna hiyo
Swali la kujiuliza, ukiwa na baba yako mfupi....how do you feel unapokuwa naye? Basi hiyo feeling ndo uwe nayo kwa mumeo. Ni mindset tu
Pole sana sio kwa povu hili dogo langu!
 
Sio kosa kumpa MUNGU vigezo vya mume /mke unaehitaji, ingekuwa bora zaid kama vigezo hivyo ungemwambia MUNGU ktk maombi yako maana yy ndo mwenye kujua mtu wa vigezo hivyo anapatikana wapi kama ni duniani au hapa JF.. ila usisahau kuwa unapoomba huwa MUNGU anamajibu haya :NDIYO /HAPANA au SUBIRI so just blv in GOD
 
Haswaaaaa naongea na Mungu, na kanambia nisubiriiii ndo maana sijatoa mrejesho, sikurupuki dia.
 
Isaya. 4:1 "Na siku hiyo wanawake Saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula, chakula chetu, na kuvaa nguo zetu lakini tuitwe kwa jina lako tu, utuondolee aibu yetu" Bwana Yesu asifiwe sana!
Kwa tafsiri ya moja kwa moja utakua umewasilisha ujumbe mkuu ila ki biblia haikuwa na maana iyo.. kwa uelewa wa kawaida tu katika unabii mwanamke inamaanisha kanisa
 
Mmmmhh.., Mtata.com
 
Msafi huwa hajitangazi, ukiona mtu anajinadi kwamba ni msafi ujue iko shida.Ila kwa vigezo hivyo utasubiri sana mana wenye vigezo ulivyotaja wengi wao washaoa.Usipokua makini utazeeka ukiwa single.
 
Msafi huwa hajitangazi, ukiona mtu anajinadi kwamba ni msafi ujue iko shida.Ila kwa vigezo hivyo utasubiri sana mana wenye vigezo ulivyotaja wengi wao washaoa.Usipokua makini utazeeka ukiwa single.
Nilijua umeandika la maana kumbe marudio? Wacha nizeeke ila Niko kwangu nakula na kulala, wewe kwanza soma ligi ya wakubwa huwezi wewe katoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…