Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

sifa zote ninazo
navaa kiuno34 nna kifua kikubwa tuu ni mrefu 6.2ft
sina mtoto nna34yrs
nmekaa 2years joberg
nna hiace 3(150kper day) ila sina kazi nyingine
elimu yangu darasa la5TUUu!!
UKINIKERA NTAKUPIGA
vp nktafte?
 
afu hakuna mwanaume mwenye hizo sifa zoote ktk dunia ya Leo at listi mm nazikaribia lakini kwenye umri miaka 30 sina!!...mbona we hujaandika umri wako mpenzi???
 
Inawezekana wanaume wachache au hawajui kutongoza kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
 
Na akimpata atakuwa nyuma yake kuna mwanamke kama yeye.
 
Hahahahhaaa Nimecheka kwa Dharau Mwanamke Huyu kwa namna alivobandika Tangazo lake anajiita ana IQ kubwa
Kuna Uzi kule Siasani unazungumzia IQ na kabila kama vina uhusiano ngoja nikaupitie tena kamanda
 
2. Awe msafiiiiii. Narudia tena awe msafi kupitiliza spendi mwanaume mchafu sipend aina yeyote ya uchafu, No no nataka siku nikikutana nae macho yangu yadhibitishe kuwa ni msafi,yaan kuanzia kwake ndani mavazi awe smart.
huyu atakuwa sio mwanaume nakuambia, mwanaume anatakiwa awe msafi ila msafi kupitiliza jua atakuwa mepitiliza sifa ya uanaume na kuelekea uanauke
 
Ningekua sijaoa ningekuposa kwa sababu una sifa za mwanamke ninayemtaka na mimi nina sifa unazotaka. Ila nakwambia hutapata hizo sifa unazotaka, ukimpata ujue tayari ana mtu wake. Ndoa hupangwa na Mungu, na huja kwa ajili ya kusaidiana yaani aliye dhaifu hupewa aliye strong or vise versa. Msafi humpata mchafu ili mchafu asaidiwe awe msafi. Mfano kwa vigezo vyako utampata wa kawaida ili umsaidie afike juu.Au ukilazimisha lazima utampata ana sifa hizo lakini ni malaya sana.
 
ujana ulikula na nani,30's wewe ni makombo mama.....vigezo kibao utadhani unachagua gari beforward.

Kumbe ukiwa na body size ya kati we ni gentleman?....kwangu nimeshakushusha kwasababu unatumia maneno ambayo hujui maana yake!....

Na akimpata atakuwa nyuma yake kuna mwanamke kama yeye.

Kuna Uzi kule Siasani unazungumzia IQ na kabila kama vina uhusiano ngoja nikaupitie tena kamanda
Comments za wanaume kwenye huu uzi sina mbavu. Sio kwa hasira hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…