Grey256
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,236
- 2,600
Wa mtaani,kanisani,chuoni,kazini na kwenye magari kote amechagua akakosa ndo kaona aje kusagulasagula hizi fake IDs ndo zimfae...ukiona mtu mpaka kafikia kutafuta mtu wa kuishi nae maisha mitandaoni na bado ana masharti kama kazi za ukurugenzi kwenye mashirika ya mawasiliano ujue kuna tatizo tena kubwa sana,hili ni nung'aembe mkuu,wenye macho makali tushaona..Kwahiyo haruhusiwi kuchagua? Hivi unaanzaje kutokuchagua mwenza wa maisha yako. Mwacheni achague jamani, yeye ndio ataeishi nae sio nyie. Kama hauna vigezo subiri wa vigezo vyako.
NB:Am married,i do this for fun.