Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

You know what graduate!, you are trying to misuse the principle, you are trying to mary a man, you dont have a moral, legal, biological whatever to do that, you wait to get married, ignore this and you suffer the consekwense.
thanks
 
Wa mtaani,kanisani,chuoni,kazini na kwenye magari kote amechagua akakosa ndo kaona aje kusagulasagula hizi fake IDs ndo zimfae...ukiona mtu mpaka kafikia kutafuta mtu wa kuishi nae maisha mitandaoni na bado ana masharti kama kazi za ukurugenzi kwenye mashirika ya mawasiliano ujue kuna tatizo tena kubwa sana,hili ni nung'aembe mkuu,wenye macho makali tushaona..

NB:Am married,i do this for fun.
Unaweza ukawa sahihi kwa upande mmoja lakini pia inaweza ukawa hauko sahihi kwa upande mwingine.
Njia hii ni rahisi zaidi kumpata mwenye vigezo vyako vingi unavyovitaka,kuna mtu alielezea kuwa maisha yamebadilika hivyo mambo mengi yamebadilika, tusikariri tu.

Kuna watu ktk maisha ya nje ya mitandao sio watu wa kujichanganya sana, hivyo hawakutani na watu wengi. Kwa hiyo kukutana na mtu wa vigezo vyake ni nadra sana. Ila kwa njia hii inarahisisha.
 
Sasa si achague huko mtaani kwake au kazini?Hapa JF atachaguaje kama sio kuchanganyikiwa huku?Anayekuja kutafuta mchumba hapa maana yake amepunguza vigezo na yupo tayari kumpata mtu ambaye atamsaidia kubadilika. Huyu anaonekana ni perfectionist jambo ambalo litamsumbua sana na huenda ndio limemsumbua mpaka anaelekea kwenye 30's. Ndoa sio maigizo: ni vizuri kuwa realist badala ya kuwa na pipe dream.
Usije ukasema nimekosa vigezo,nina ndoa ya miaka 15 sasa hivi
Nafikiri walioweka hili jukwaa hawakukosea kabisa, hakuna shida kuwa perfectionist kama utakutana na wa kufanana nawe.

Kwako unaona ni ajabu maybe kwakuwa hauna vigezo, ila mbona ni vigezo vya kawaida tu mwanaume kuwa navyo. Na sio kwamba hakuna mwanaume asie na vigezo hivyo.

Ndoa sio lelemama, hivyo mwacheni apate watakaeendana.

Wewe kuwa na vigezo vya mkeo haimaanishi ni vigezo vya kila mwanamke.
 
thanksssssssssssssssssssssssssssssss tena saaaa huyo ulokutana nae sio mm. wewe lala upumzike
Same type tu sioni utofauti wako na wao...

Nili kua nime lala ila baada ya kuona hii post nika amka kabisa....

Una taka mwanaume alie kaa nje ya nchi.... So crazy... Hahaha! It's Funny how some women can be so complicated more than life is.

Nime kutana na type kama zako I swear it's pain in the ass....

Am sure watu wana ku avoid hata ofisini huko uliko sema why? Wana ona kabisa dating you isn't worthy doing.

Kila mtu Ana sifa anazo hitaji...ila over exaggerating of those features.... It's a clear sign you're one of those complicated women.


So be humble... A humble woman is a sweet woman to be with..

Achana na HOLLYWOOD mentality.
 
Wakuu salaam.



SIFA ZA MWANAUME NINAE MTAKA.




11. Awe ameshafika stage Fulani ya maisha. Staki mwanaume tegemezi, atleast awe na mradi mmoja wa kumuingizia pesa tofauti na ajira.staki mwanaume mzembe ambae hajui kutafuta pesa. Inshort awe na mipango ya kuwa somebody na future nzuri .staki mwanaume anaemiliki p.u.m.b.u na smartphone.mm ni mtafutaji staki mwanaume wa ovyo.

Hapa namba 11 pameniacha hoi


SIFA ZANGU

13 sina mtoto na sijawahi kuolewa.

Je wewe ni bikira au uliishawahi kumjua mwanaume?

Vipi hujawahi kutoa mimba?
 
Unaweza ukawa sahihi kwa upande mmoja lakini pia inaweza ukawa hauko sahihi kwa upande mwingine.
Njia hii ni rahisi zaidi kumpata mwenye vigezo vyako vingi unavyovitaka,kuna mtu alielezea kuwa maisha yamebadilika hivyo mambo mengi yamebadilika, tusikariri tu.

Kuna watu ktk maisha ya nje ya mitandao sio watu wa kujichanganya sana, hivyo hawakutani na watu wengi. Kwa hiyo kukutana na mtu wa vigezo vyake ni nadra sana. Ila kwa njia hii inarahisisha.
Nani kawaambieni mwanamke anatafuta?, mwanamke anatafutwa. Wewe unataka niwe na vigezo unavyotaka wewe kwani wewe ndio unanioa?
 
Nani kawaambieni mwanamke anatafuta?, mwanamke anatafutwa. Wewe unataka niwe na vigezo unavyotaka wewe kwani wewe ndio unanioa?
Jambo haliwi baya mpaka pale akili yako itakapoamua kulifanya liwe baya.
 
Hivi inabidi umuumbe wakwako
Kwa sie tilio zaliwa na wanawake wenzio tutakupa kero
 
Aseeh nikama Nimependa Tangazo lako ila badilisha r hizo maana mke tupo chumbani unaniambia baby I rove you nitakimbia.

Kila la kheri kigezo cha kucha kimenikosesha mke na cha r.
Terms and Conditions to be Applied...
 
Back
Top Bottom